Aliyempa mimba mke wa mtu, amnunulia gari mume

Nipo Na wife hapa ,mwambie aje tuyajenge Nina mzuka Na kavtz hapa
 
Umeowa lakini?

Mapenzi yapo moyoni

Gari inaweza pata ajali na inatafutwa

Tafuta lakwako sio kupewa kwa dharau ya kuuza mkeo.

Kama mke limbukeni nawewe unataka kuwa limbukeni?
Hata na hivyo sijaeleza kuwa utamuacha mwanamke. Kuchukua gari inaweza kuongeza mapenzi ndani ya familia ya huyo jamaa maana mke anauhakika kuwa mumewe kamsamehe kuliko kusema tu kwa mdomo, gari ni ishara tu. Hata ukisoma aya ya mwisho yule jamaa aliyepewa gari alisema anampenda sana mke wake
 
Daah umasikini mbaya sana jamani, yani mtu akupigiemke wako na zawadi akupe na unaipokea kwa kukenua kabisa daah tumetofautiana sana jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom