Aliyempa mimba mke wa mtu, amnunulia gari mume

Aliyempa mimba mke wa mtu, amnunulia gari mume

1509297677387.jpg
 
Umasikini wa ufahamu ni mbaya kuliko umasikini wowote ule katika maisha ya mwanadamu.

"Biblia inasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"kwa hiyo kinacho wafanya waangamizwe ni uhaba wa maarifa yaani umasikini wa kutokuwa na ufahamu wa kuelewa wa kiroho na kimwili.
 
Kwa Mercedes G-class, naipokea vizuri sana tu, na usishangae ukachanganyikiwa ukajikuta unampa jamaa na binti yko kma nyongeza...!!!

Mwanamke ni rafiki tu kma rafiki wengine. Kma aliamua kuachia mzigo na kumegwa mpk mimba, hyo gari haiwezi kufanya aache kuendelea kumegwa. Atakuletea mimba ya pili huyo.
 
Ukitaka kujuwa kwanini ndoa hazidumu siku hizi

Fatilia uzi huu...watu hawana uchungu kabisaa

Hawana uchungu, mke anauma jamani laaaa

Mke anaumaa....simliwa tu...labda uwe umejiolea bila kupenda, bila malengo na haujui maana halisi ya mke.
Sasa ya nn kuumia nawakati kaamua kabisa kigawa papuchi.na hajalazimishwa, hiyo ni ishara ya kukubali kumsamehe,
 
ia
Mwanaume mmoja Raia wa Nigeria
ambaye anaishi Afrika Kusini,
amenunua gari ya kifahari aina ya
Mercedes-Benz G-class, na kumpa
mwanaume mwenzake, ili kumuomba
msamaha kwa kumpa ujauzito mke

wake walipokuwa wakichepuka.
Gari aina ya Mercedes-Benz G-
class.
Mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina
la John, amenukuliwa na moja ya
mtandao wa habari wa Afrika Kusini
unaoitwa Daily Live, akisema kwamba
mume wa mchepuko wake huyo
alimsamehe mara tu baada ya
kumkabidhi gari hiyo.
“Najua nilichokifanya sio kizuri, lakini
najisikia vizuri amepokea zawadi
yangu. Amekubali kuwa mke wake
ambaye ni 'girl friend' wangu ni
mjamzito na hivi karibuni atajifungua
mtoto wa kiume ambaye ni wa kwangu.
Mwanzoni alikuwa na hasira lakini
nilipompa gari hasira zake zilimuisha”,
alinukuliwa John.
Mtandao huo ulipofanya mazungumzo
na mwanaume mwenye mke wake
alinukuliwa akisema kuwa..... “Itakuwa
ni kosa kuniambia mi ni mpumbavu,
suala limeshatokea na hatuwezi
kulifuta, tulikaa chini tukayamaliza
kama wanaume, biblia imesema
tusamhe na kusahau. Siku zote
nilikuwa na ndoto ya kuendesha G-
Wagon, Krismas imekuja mapema
kwangu na familia yangu”.
Mwanaume huyo aliendelea kusema
kwamba ...”mtoto atazaliwa siku si
nyingi nami nitamjali kama mwanangu,
baba yake akitaka kumchukua
kumpeleka kwao Nigeria sitajali,
nitampa ushirikiano wote mke wangu,
hiyo ndio ndoa. Nampenda mke wangu
na sitamuacha kwa sababu ya ujauzito
wake wa bahati mbaya”.
Imetafsiriwa kutoka African Spotlight
Nadharia ipi imetuka na huyu mwanaume ambaye mkewe ni malaya. Mnigeria umetumia udhaifu wake wa kiuchumi kulimaliza na hii ni kejeli iliyopindukia. Na mwanaume mwenye mke wake anahisi kuwa ni bahati kutimiza ndoto yake kupitia umalaya wa mkewe.
n
 
Ha ha ha ha !!!! Kweli mkuu usimuamini masikini, masikini haaminiki, anaweza kununuliwa mda wowote.
Hajapewa gari kabla ya huyo mwanamke kupewa mimba, sasa kama tayari kashapewa mimba ya nn kuacha hilo ishara ya msamaha. Hayo ni kama malipizi ya kosa
 
Sasa ya nn kuumia nawakati kaamua kabisa kigawa papuchi.na hajalazimishwa, hiyo ni ishara ya kukubali kumsamehe,

Sidhani kama unafaham machungu ya hiyo kitu

Hata wanyama wasio na akili kama swala, simba chuwi hata mbwa wanauwana kabisaa

Sembuse wenye akili zao!
 
Hivi mnajua bei ya WAGON

Umeoa mkuu?

Kama umeoa mkeo unampenda kwa dhati ya moyoni

Hakuma kinachozidi thamani ya penzi

Watazame simba uone wanavouwana.....hawajuwi noti wala shilingi
 
Mwanaume mmoja Raia wa Nigeria
ambaye anaishi Afrika Kusini,
amenunua gari ya kifahari aina ya
Mercedes-Benz G-class, na kumpa
mwanaume mwenzake, ili kumuomba
msamaha kwa kumpa ujauzito mke
wake walipokuwa wakichepuka.
Gari aina ya Mercedes-Benz G-
class.
Mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina
la John, amenukuliwa na moja ya
mtandao wa habari wa Afrika Kusini
unaoitwa Daily Live, akisema kwamba
mume wa mchepuko wake huyo
alimsamehe mara tu baada ya
kumkabidhi gari hiyo.
“Najua nilichokifanya sio kizuri, lakini
najisikia vizuri amepokea zawadi
yangu. Amekubali kuwa mke wake
ambaye ni 'girl friend' wangu ni
mjamzito na hivi karibuni atajifungua
mtoto wa kiume ambaye ni wa kwangu.
Mwanzoni alikuwa na hasira lakini
nilipompa gari hasira zake zilimuisha”,
alinukuliwa John.
Mtandao huo ulipofanya mazungumzo
na mwanaume mwenye mke wake
alinukuliwa akisema kuwa..... “Itakuwa
ni kosa kuniambia mi ni mpumbavu,
suala limeshatokea na hatuwezi
kulifuta, tulikaa chini tukayamaliza
kama wanaume, biblia imesema
tusamhe na kusahau. Siku zote
nilikuwa na ndoto ya kuendesha G-
Wagon, Krismas imekuja mapema
kwangu na familia yangu”.
Mwanaume huyo aliendelea kusema
kwamba ...”mtoto atazaliwa siku si
nyingi nami nitamjali kama mwanangu,
baba yake akitaka kumchukua
kumpeleka kwao Nigeria sitajali,
nitampa ushirikiano wote mke wangu,
hiyo ndio ndoa. Nampenda mke wangu
na sitamuacha kwa sababu ya ujauzito
wake wa bahati mbaya”.
Imetafsiriwa kutoka African Spotlight

Hapa nionavyo mimi ngoma droo mwanamke katoka nje ya ndoa kwa pesa mwanaume kalimaliza kwa kuokea pesa hivyo wote wawili ni wa hovyo kwa kuwa wamegalagazwa na pesa. Kimsingi hata huyo mwanaume katoka nje ya ndoa kwa nguvu ya fedha. Kumbe hata wanaume waweza kutoka nje ya ndoa kwa nguvu ya fedha hivyo hakuna sababu ya kuwalaumu wanawake wanapotoka nje ya ndoa huwa ni majaribu ya nguvu ya fedha. Kadhalilisha wanaume huyu...
 
Umeoa mkuu?

Kama umeoa mkeo unampenda kwa dhati ya moyoni

Hakuma kinachozidi thamani ya penzi

Watazame simba uone wanavouwana.....hawajuwi noti wala shilingi

Hujajibu swali langu coz ulichoandika sio nilichouliza
 
Sidhani kama unafaham machungu ya hiyo kitu

Hata wanyama wasio na akili kama swala, simba chuwi hata mbwa wanauwana kabisaa

Sembuse wenye akili zao!
Ya nn kuwa na machungu kwa ambaye hana machungu na wewe. Hilo gari ni ishara ya nje ya kutoa msamaha. Huyo jamaa hajapewa gari kwaajili ya kuwa na mahusiano na mke wake ,yeye kapewa gari kwa lengo la msamaha . sasa uchungu wa nn wakati matokeo hayatabadilika
 
Hapa nionavyo mimi ngoma droo mwanamke katoka nje ya ndoa kwa pesa mwanaume kalimaliza kwa kuokea pesa hivyo wote wawili ni wa hovyo kwa kuwa wamegalagazwa na pesa. Kimsingi hata huyo mwanaume katoka nje ya ndoa kwa nguvu ya fedha. Kumbe hata wanaume waweza kutoka nje ya ndoa kwa nguvu ya fedha hivyo hakuna sababu ya kuwalaumu wanawake wanapotoka nje ya ndoa huwa ni majaribu ya nguvu ya fedha. Kadhalilisha wanaume huyu...

Kabisaa well said

Huyo mlume kwa tabia hiyo...naamini hata matako anagawa akipewa fedha, hovyo kabisa

Wanaume kama mabinti....
 
Ya nn kuwa na machungu kwa ambaye hana machungu na wewe. Hilo gari ni ishara ya nje ya kutoa msamaha. Huyo jamaa hajapewa gari kwaajili ya kuwa na mahusiano na mke wake ,yeye kapewa gari kwa lengo la msamaha . sasa uchungu wa nn wakati matokeo hayatabadilika

Umeowa lakini?

Mapenzi yapo moyoni

Gari inaweza pata ajali na inatafutwa

Tafuta lakwako sio kupewa kwa dharau ya kuuza mkeo.

Kama mke limbukeni nawewe unataka kuwa limbukeni?
 
Back
Top Bottom