Tukizungumza ukweli yule Fred tumepigwa! Hafai kabisa kucheza Ligi kuu ya Tanzania, labda ktk Tanzania yetu akacheze mchangani au daraja la tatu Wilaya.Tumpe muda ni mchezaji mzuri yule
Tukizungumza ukweli yule Fred tumepigwa! Hafai kabisa kucheza Ligi kuu ya Tanzania, labda ktk Tanzania yetu akacheze mchangani au daraja la tatu Wilaya.
Lakini Cha ajabu Benchika ndio amekuwa mtu wake na sijui Kuna Siri gani kati ya Fred na Benchika, maana ata siku ile na TRA Fred alipofunga goli Benchika alifurahi na kumpongeza, wakati akina Kanoute Pamoja na kupiga hat trick akupongezwa.
Lakini Tahadhari Kwa Benchika huyo Fred atamgharimu, kelele zimeshaanza, kama Kuna mkarimani wa kiarabu humu amtafsirie
Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
Akili mbili bado mbio zinaendeleaMBUMBUMBU kwaherini ya kuonanaaaaaaaaa😀😀😀🤪🤪
Shambuliaji la kimataifa hilo..linaitwa Fredy Kulwa.Mara 100 reliant lusajo....
Benchika nae ni kocha wa mchongo tu! Hana mbinu zozote za maana ndio maana uwa hakai na timu zaidi mwaka mmoja anafurushwa.Tukizungumza ukweli yule Fred tumepigwa! Hafai kabisa kucheza Ligi kuu ya Tanzania, labda ktk Tanzania yetu akacheze mchangani au daraja la tatu Wilaya.
Lakini Cha ajabu Benchika ndio amekuwa mtu wake na sijui Kuna Siri gani kati ya Fred na Benchika, maana ata siku ile na TRA Fred alipofunga goli Benchika alifurahi na kumpongeza, wakati akina Kanoute Pamoja na kupiga hat trick akupongezwa.
Lakini Tahadhari Kwa Benchika huyo Fred atamgharimu, kelele zimeshaanza, kama Kuna mkarimani wa kiarabu humu amtafsirie
Sent from my Infinix X6512 using JamiiForums mobile app
Scars njoo ujibu tuhuma hukuKuna jamaa humu anaitwa Scar alikua anampamba sana
Nikasema huyu hawajui ma strikes wanaotokaga ligi ya zambia
Hakika! unamwacha Phiri unaenda kusajili Ndevu
Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo.
Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
Kwa mpira huu coastal union watatungukuta za kutoshaKama nyie akili mbili mlipousahau kwa miaka 4 mfululizo..kawaid sana...hakuna jipya kwa timu za kariakoo..
Msingebebwa kule kagera mngekua mnakenua mdomo? Maana mpk refa alitozwa faini au kufungiwa kwa ule uamuzi wake mpk akalazimisha droo..
Tatu Malogo ajengewe sanamu kwa kutubeba sisi Makolokolo SC.Kama nyie akili mbili mlipousahau kwa miaka 4 mfululizo..kawaid sana...hakuna jipya kwa timu za kariakoo..
Msingebebwa kule kagera mngekua mnakenua mdomo? Maana mpk refa alitozwa faini au kufungiwa kwa ule uamuzi wake mpk akalazimisha droo..
NakaziaMimi nashauri muanze kwanza na yule aliyewaletea Caesar Manzoki kutoka China, kuja tu kuwsalimia kwenye ule uchaguzi wenu uliopita. Maana aliwaona nyinyi ni zaidi ya mbumbumbu.
Coastal union hana baya na nyie, tawi lileKwa mpira huu coastal union watatungukuta za kutosha
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app