Aliyemkamata mlipua bomu kanisani anena mazito!!

Aliyemkamata mlipua bomu kanisani anena mazito!!

kwa habari za uhakika ni kuwa aliyerusha bomu hajakamatwa. Yule Ambrosi yeye alikodishwa na mrusha bomu. Alipomfikisha kabla hajashuka kwenye bodaboda ndo akarusha na kukimbia. Ila Ambrosi ndo kakimbizwa kakamatwa baada ya mtuhumiwa kupotea

Aliyekudanganya nani? Si Kila usikialo unaliamini, huku ndani porojo nyingi ukweli Karibu na sufuri. Tuendelee na tamthiloa ya egoli episod ///
 
angekuwa na mabomu mengine mengi kwenye rambo kama unavyodai angekubali kukamatwa? Kilichomzuia kuwarushia hao waliokuwa wanamfukuza ni nini? Aliyekamatwa hakuwa mtuhumiwa alikuwa mwendesha bodaboda
 
Mi naona kijana alifanya kazi nzuri ila hakuna kizito alichonena. Kuna haja ya kutofautisha ujasiri wa mtu na yale anayoyanena mwenyewe! Nilifikiri labda kaja na jipya kwamba "aliekamatwa siyo Ambrose, bali ni Jose! Au kwamba alikuwa anazuiwa na kundi nfulani asimkamate mhalifu...." Haya ndo yanaweza kuwa mazito.
 
ina maana mlipuaji alikamatwa.????

tena na mabomu mengine.!!!?????
 
Makubwa jamani..Kumkamata wawe group zima lkn ushujaa uende kwa mtu mmoja?!wonders shall never end
 
Haya sasa wale walosema kuwa kijana alimpandisha mtu ndio amelipua kiko wapi? mbona mnapenda kupandikiza chuki kiasi hiki? kiko wapi? huyo ni Ambrose hakanua na Hussein wala nini? mbona babu yenu Pengo jana alisema kuwa alipigiwa simu ya kuelezwa ukweli wa tukio, kinachisikitisha hakuusema ukweli huo ni wazi anafurahia waislamu na wakirisito wanavopigana??? dhamira yake ni nini hasa yeye kama kiongozi wa dini?
Mkuu kunawatu ni kawaida yao kupandikiza chuki na uchochezi usishangae aspofanya hivyo atakosa hela ya kula.
 
Mmh, nimeamini besaa (pesa) ni sababu ya roho; Hapa inatafutwa promo ya kulazimisha!
Enyi ndugu zangu Wachagga, pesa haitafutwi ki hivyo bana!

huo ni uzalendo mkuu, au unataka ungekua wewe??
 
Mleta Uzi na huyo Shigongo wako!

24182.gif

Ole wako huyu mtu akung'ate
 
"alifika kwenye shamba la miwa akajilaza"
Inaonekana ni stori ya utunga ili gazeti lipate wateja!
Hawasemi ni nani?Ivi mlipuaji ajilaze kirahisi ivyo!
 
Mmh...
Mbona jeshi la polisi limetangaza bingo ya 50mn kwa atakayefanikisha upatikanaji wa muhusika?
 
Mazito aliyonena yako wapi? Shigongo anatakiwa afike mahali apunguze hawa waandishi wa habari makanjanja wanaoandika title zenye uzito ili auze gazeti wakati ndani hakuna chochote.

Yeye mwenyewe kimeo......
 
Mazito aliyozungumza ni kwamba mtuhumiw amekuwa star "unaakili wewe?"
 
Back
Top Bottom