Nimeamini wema huwa hawadumu nakumbuka tulivyokuwa tunahangaika mkoa mzima Kahama, Maswa, Malampaka, Meatu, Maganzo tulibakiza Bariadi tu kuiweka ndani ya Chadema tulikuwa mbioni kuivamia Bariadi kwa Mapesa na Chenge.Sote kwa kweli tumeguswa kwani hakuishi kuona CHADEMA ikichukua nchi 2015. Poleni wana CDM woooote kwa kuondokewa na Kamanda Mpambanaji. Lakini kuvunjika kwa Koleo siyo mwisho wa Uhunzi " ALUTA CONTINUA!!!!!!!!!!!!!!!!
Haki huwa haifi.Poleni sana wana CHADEMA, na wapenda haki wote. Kesi yake ya kupinga matokeo ya Uchaguzi ndiyo imekufa? au Chama kitaiendeleza?
Kuna msiba mkubwa CHADEMA shinyanga Diwan na Mwenyekit Mkoa ameaga dunia.
ni kweli kuna msiba ShinyangaPoleni sn ndungu zangu wana CDM,ni pengo kubwa sn kwa chama chetu km hizo taarifa ni za kweli!tujuzeni zaidi
Ndg wana JF., nimepewa taarifa kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika kuwa aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini (CHADEMA) mwaka jana, Bw. Shelembi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo ktk hospitali ya Mkoa Shinyanga. Alipelekwa huko usiku akiwa na BP ya juu.
Mungu ailaze mahalipema peponi roho ya marehem Shelembi..... Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi,AMINAni kweli kuna msiba Shinyanga