Pombe n
Kuna changamoto nyingi sana na haionekani kwa namna gani zitatatuliwa hasa ukosefu wa maji,miundo mbinu ya usafiri/usafirishaji,masoko ya mazao ya mifugo na uendelezaji wa mifugo yenyewe na malisho yao.Idadi ya mifugo ni kubwa kuliko binadamu laikini tija ni ndogo kwa sababu hakuna sera ya kuendeleza wafugaji na hivyo wanamiliki raslimali bila elimu ya uvunaji na uendelezaji.Haya tunayoshudia huku kwetu hayatofautiani na maeneo yote ya Tanzania hasa vijijini na CCM Mpya wanapenda kuwaita waajiri wao Wanyonge badala ya kuutokomeza unyonge wao ili kutajipatia faida binafsi.
Watanzania tuamke na tupindue meza,CCM Mpya hawana hoja ya maendeleo ya watu bali vitu vinavyowapatia sifa mbele ya macho ya wanyonge wasio na fursa ya kueleza vipaumbele vyao.
Pombe nayo ni starehe?Hata aliyeongoza kura za maoni sasa(2020) naye ni wale wale,Chapombeee.Monduli Yetu haina bahati ya kupata Proper MP Candidate after Mh.E.Moringe R.I.P.Only him was a true representative of Maasai Community.Waliofuatia baada yake ni wachumia tumbo na wameinyong'onyeza sana jamii yao hasa suala la Elimu ambayo bado ni Optional hasa kwa watoto wa kike.Kwa aina ya viongozi wanaochaguliwa/kuteuliwa itachukua another century kufikia malengo ya maendeleo ya jamii ya wafugaji pamoja na raslimali lukuki za mifugo,wanyama pori/utalii wa picha na uwindaji walivyonavyo.Mpenda starehe sana na kundi lake la akina Fred Lowasa