Aliyekula kala.....

Hata ww unaweza ukawa kama jokate siku 1, cha msingi shikamana saana sana na masomo, piga sana shule, usifuate makundi..
Elimu ndo ufunguo
mbona Jokate hakuwa hivyo?
maisha hayatabiriki hata wenye vyeti fake sasa ni wakuu wa mikoa/naibu rais
 
pole sana mtoa mada inaonyesha uko outdated sana.
 
Alim
yaani wewe umenielewa na kupitiliza.
Mcheki Msukuma anawasimanga PhD holder bungeni
Alimwambia waitara ni kheri kuwa na darasa la saba ila una akili kuliko kujiita umesoma ila akili huna
 
Yaani katika mawaziri waliofeli pr maghembe ni wa kwanza
mkuu mara nyingi ma PhD holders wengi wanabaki kuwa ma service man, hawawezi kuivisha chochote zaidi ya kuajiriwa tu, wafanye walichopangiwa pekee
 
mkuu mara nyingi ma PhD holders wengi wanabaki kuwa ma service man, hawawezi kuivisha chochote zaidi ya kuajiriwa tu, wafanye walichopangiwa pekee
Hahahahahaha mkuu ngoja nimuulize King Musukuma
 
ingependeza baada ya mazungumzo urishe clip hapa, napenda aina ya uwasilishaji wake huyo ngosha[emoji23]
Hahahahahaha Ngosha yule ni shida ni ngosha halisi Hong Kong kwenyewe wanamjua king Musukuma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…