PostGE2025 Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani wewe Humphrey Polepole ni nani wako hasa?? Maana povu kama lote
Nijuavyo Polepole na wewe, pamoja na Genge lenu lote hamna tofaiuti naye isipokuwa inapomhusu Samia Suluhu Hassan. Unaponiambia mimi kutoa povu juu ya huyo Polepole ni kwamba huelewi ulichosoma hapo kabla ya kujibu yaliyoandikwa.
 
Namjua muda mrefu ila hiyo sio fact. Kila anayetoa mawazo tofauti bila kujali unamjua au humjui anatuhimiwa kuwa anatumika.

Je ni kosa watu kuwa na maoni tofauti au kinzani?
Yale hayakuwa mawazo bali chokochoko!! Usipodhibiti wakorofi kama hawa wanaotoboa mtumbwi utazama kwenye ziwani
 
Kubalini tofauti za kifikra.
Angebakia CCK ambako mwaka 2015 aligombea Urais. CCM kaingia 2021 na anataka kujifanya anakijuwa kuliko wenye nacho.

Hizo fikra azitumie nyumbani kwake. Goddammit
 
Nijuavyo Polepole na wewe, pamoja na Genge lenu lote hamna tofaiuti naye isipokuwa inapomhusu Samia Suluhu Hassan. Unaponiambia mimi kutoa povu juu ya huyo Polepole ni kwamba huelewi ulichosoma hapo kabla ya kujibu yaliyoandikwa.
Polepole kwanza ni mmoja kati ya watu 5 waliokuwa kwenye timu ya Magufuli ambayo ndiyo ilianzisha mambo ya utekaji, uuaji na ukandamizaji demokrasia. Sina huruma na yaliyompata Polepole kwa kuwa anaywea kikombe ambacho aliwanyweshea akina Ben Saanane
 
Ile ya uhujumu uchumi ya Mange imeishia wapi?
 
Polepole kwanza ni mmoja kati ya watu 5 waliokuwa kwenye timu ya Magufuli ambayo ndiyo ilianzisha mambo ya utekaji, uuaji na ukandamizaji demokrasia. Sina huruma na yaliyompata Polepole kwa kuwa anaywea kikombe ambacho aliwanyweshea akina Ben Saanane
Ngoja niseme hivi: Sijajua hasa ni kipi unakipigania wewe katika misimamo yako humu JF. Sijaona popote ninapoweza kukuweka kwenye kundi la "nguruwe" wanaofugwa na Samia; lakini bado umeng'ang'ania huko huko!

Kama ni kutetea CCM, sioni uwepo wa CCM kama chama wakati huu.

Kwa hiyo nafasi pekee iliyobaki ambayo inaweza kukuenea wewe ni kuwa furushi tu analolitumia Samia, pengine kwa uteuzi ndani ya serikali haramu.

Polepole asingemsema Samia, hadi leo hii ungekuwa unaimba sifa zake; huu ndio upuuzi wa ajabu sana uliowajaa watu kama wewe.
 
Kutumia matusi kwenye mjadala badala ya hoja ni kufilisika kiakili. Mirembe au Lutindi inakuhusu
 
Lugha ileile ya Samia, tunajuwa maana yake ni nini. Mnapoambiwa ukweli inakuwa "matusi".
 
Back
Top Bottom