Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,229
- 128,996
Mkuu Burita, sasa funguka!. Mimi naendelea kushauri. Post in thread 'Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe' Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika WeweAwe makini mnooo
Sitafunguka sana
UPDATE
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Kwakweli watu wamegeuka kumuogopa zaidi shetani kuliko Mungu, hasa wazee wetu tuliodhani wana vimelea vya mzee wa BuritoWatu tunachomana
Sana hata huku JF
Sukuma gang hawajawahi kua na akili ni watu wa mihemuko na kukurupukaJamaa ana akili sana.
Kijana wa Magu ambaye anajua kilichomtokea Saanane na Azory sidhani kama atakuwa mwepesi mwepesi
Jamaa alijua kua polepiel ni mshamba mmoja hiviBro unatafuta umaarufu ama nini? Mpaka Polepole mwenyewe anajuwa kuwa anawindwa, kuna mtu hii nchi hajui kuwa Polepole anapaswa kuwa makini?
Mkuu ninao utu na ubinadam kwa wale waliotekwa na hawajulikani walipo mpaka sasa, na hawakua na kosa lolote linalotambulika kwenye jamii.Kama ukiwaza hivyo huumii basi huna utu na ubinaadamu ndani yako.
AsanteAlishauriwa Lakin si kila jambo lazima liwe tunavyotaka
Si wanasema kijana wa azania kitambo ni mtu wa bawa la tai.Jamaa alijua kua polepiel ni mshamba mmoja hivi
Hebu soma tena comment yako hii, uone ni nani alikuwa sahihi: wewe au mleta uzi?Wewe tena kwa kujifanya kalumanzila 😀😀,usimtishe mwenzio hamna mtu anaepoteza nae mida ni kajitu kadogo sana hako kakiroboto
Hov
😳😳😳Jamaa ana akili sana.
Kijana wa Magu ambaye anajua kilichomtokea Saanane na Azory sidhani kama atakuwa mwepesi mwepesi
Hebu soma tena comment yako hii, uone ni nani alikuwa sahihi: wewe au mleta uzi?Wewe tena kwa kujifanya kalumanzila 😀😀,usimtishe mwenzio hamna mtu anaepoteza nae mida ni kajitu kadogo sana hako kakiroboto
Hov
Shangazi vipi ?Wewe tena kwa kujifanya kalumanzila 😀😀,usimtishe mwenzio hamna mtu anaepoteza nae mida ni kajitu kadogo sana hako kakiroboto
Hov
🤣Wanamtandao watakua wa mwisho kufikiwaJamaa ana akili sana.
Kijana wa Magu ambaye anajua kilichomtokea Saanane na Azory sidhani kama atakuwa mwepesi mwepesi
Muda ni mwalimu mzuri sana,muda una uwezo wa kufungua ukweli,..........Polepolekama kawaida ya sukuma gang ni mshamba mmoja hivi asiyejielewaMkuu Britannica jitahidini pia kuwalinda watu aina ya HHP kwenye idara maana ni wachache sana angalia wazee wote wamehanya kukemea uozo uliofanyika kumpata mgombea lakini jamaa akaachia mshahara, posho, na marupurupu ya kibalozi ilikupigania nchi na usalama wa rasilimali zake, mtapoteza sana uzalendo kama watu wenye nia ya dhati taifa lisonge mbele kama mtawaacha waingie kwenye 18 za wezi. Naamini mtaweza kumlinda HP na pia muungeni mkono kwenye mambo anayoyapambania.
Mkuu Britannica jitahidini pia kuwalinda watu aina ya HHP kwenye idara maana ni wachache sana angalia wazee wote wamehanya kukemea uozo uliofanyika kumpata mgombea lakini jamaa akaachia mshahara, posho, na marupurupu ya kibalozi ilikupigania nchi na usalama wa rasilimali zake, mtapoteza sana uzalendo kama watu wenye nia ya dhati taifa lisonge mbele kama mtawaacha waingie kwenye 18 za wezi. Naamini mtaweza kumlinda HP na pia muun
Jamaa ana akili sana.
Kijana wa Magu ambaye anajua kilichomtokea Saanane na Azory sidhani kama atakuwa mwepesi mwepesi
geni mkono kwenye mambo anayoyapambania.
Uliwaambia lakini walikupuuza na leo hii Mh.Polepole hatuko naye katekwa na wajanja wenzie!!!Bora ramli inayojenga kuliko kubomoa
Tumpe ujumbe gani, naweza kumfikishia
Una uhakika gani kuwa walipuuza?Uliwaambia lakini walikupuuza na leo hii Mh.Polepole hatuko naye katekwa na wajanja wenzie!!!