Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
Amenikera snJamaa ana akili sana.
Kijana wa Magu ambaye anajua kilichomtokea Saanane na Azory sidhani kama atakuwa mwepesi mwepesi
Kwann hukumshauri asiwe na wasaidizi?Awe makini mnooo
Sitafunguka sana
UPDATE
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Leo tumepata majibuPolepole hayuko nchini, zile picha za hapa ni wapi akiwa Dar CBD ni za zamani.
Hata muchungaji askofu wa ufufuo hayuko nchini. Kwa jeshi hili la Muliro wa intelegensia wangesha pewa kesi za uhaini.
Ss umeelewa?Namsoma Britanicca, najua anasifika kwa post za namna gani, na hiko ndio haswaa kimenishangaza. Mtu kama yeye sio wa kupost thread kutoa onyo kwa polepole, pole pole mwenyewe anasema anatafutwa, sasa unamuonya nini hapo?
View acc yake sa tisa na Dkk 46 alijuwa hapaDah.....
Britanicca na wewe hupatikani
Daaah!..unamlaumu tena,Watanzania sio wa kuwaamini na kuwatetea 🙆Amenikera sn
Kuala cuba hakujamsaidia
Kwakweli sijui alifikiri nini?Humphrey amezingua pakubwa sana.
Unajua upo kwenye vita kali, unaishije na mtu nyumbani? Angejitenga kabisa na walimwengu.
Ndio mi nilijua hayupo na kiukweli niliona afadhali sbb hali inaelewekaDaaah!..unamlaumu tena,Watanzania sio wa kuwaamini na kuwatetea 🙆
🥶🥶Awe makini mnooo
Sitafunguka sana
UPDATE
Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!
Britanicca
Usilaumu sana, kuna vitu aliwahi kuvisema mwanzo, watu walivyomshauri aachane na uanaharakati, kwa kuwa yeye bado kijana, bado ana future.Humphrey amezingua pakubwa sana.
Unajua upo kwenye vita kali, unaishije na mtu nyumbani? Angejitenga kabisa na walimwengu.
Acha ushamba hao Kenya wamefanikiwa kwenye nini hasa baada ya kuandamana....... Ndo ujinga mnataka maandamano kwa mifano mibovu.Kuna watu wanamshangaa Polepole kwa kufanya yote aliyoyafanya akiwa hapa hapa Tanzania, wanaona kama alikosea. Hii nchi ni ya watanzania na Polepole ni mtanzania, mlitaka aende nchi gani?
Video yake ya jana alisema kuna wazee wameshasaliti na wanaorodhesha watu watakaoshiriki maridiano. Binafsi naamini hao hao wazee ndio wamemchomolea betri; wazee aliowaamini wamemchoma ndugu Polepole
Cha kusikitisha sana ni namna sisi watanzania tunavyo react kwa matukio kama haya
Leo ilikuwa kesi ya Tundu Lisu, kesi ambayo inakusanya umati mkubwa wa watu. Watu wamepigwa, wameumizwa, wamevunjwa miguu na wengine wako mahututi hospitali
Yote hayo yamefanyika machoni pa viongozI wa CHADEMA! Unabaki unajiuliza, ingekuwa kwa wenzetu hapo jirani tu Kenya, hii haikutosha kuwa starting point?¿?
Yaani tumeamka asubuhi na habari za mshituko na masikitiko za kutekwa kwa Polepole, halafu watu wanapigwa virungu na polisi mahakamani, halafu kuna vijana kibao wamekamatwa mikoa tofauti tofauti...polisi anapomgusa raia na kumpiga virungu, kwanini vagi lisianzie hapo hapo?
Mkuu shule gani? Kibiti au BagamoyoKuna watu wanamshangaa Polepole kwa kufanya yote aliyoyafanya akiwa hapa hapa Tanzania, wanaona kama alikosea. Hii nchi ni ya watanzania na Polepole ni mtanzania, mlitaka aende nchi gani?
Video yake ya jana alisema kuna wazee wameshasaliti na wanaorodhesha watu watakaoshiriki maridiano. Binafsi naamini hao hao wazee ndio wamemchomolea betri; wazee aliowaamini wamemchoma ndugu Polepole
Cha kusikitisha sana ni namna sisi watanzania tunavyo react kwa matukio kama haya
Leo ilikuwa ilikuwa siku nzuri sana ya kuliamsha dude. Starting point ambayo inatafutwa siku zote ilikuwa imepatikana leo asubuhi. Nitatoa sababu zifuatazo;
Leo ilikuwa kesi ya Tundu Lisu, kesi ambayo inakusanya umati mkubwa wa watu. Watu wamepigwa, wameumizwa, wamevunjwa miguu na wengine wako mahututi hospitali
Yote hayo yamefanyika machoni pa viongozI wa CHADEMA! Wakati huo huo tumeamka na taarifa za kutekwa kwa Polepole.
Unabaki unajiuliza, ingekuwa kwa wenzetu hapo jirani tu Kenya, hii haikutosha kuwa starting point?
Yaani tumeamka asubuhi na habari za mshituko na masikitiko za kutekwa kwa Polepole, halafu watu wanapigwa virungu na polisi mahakamani, halafu kuna vijana kibao wamekamatwa mikoa tofauti tofauti...polisi anapomgusa raia na kumpiga virungu, kwanini vagi lisianzie hapo hapo kushinikiza Polepole apatikane, waliokamatwa waachiliwe, kuhoji kwanini imekuwa kawaida polisi kuwapiga raia, tunasubiri tupate sababu gani?
Mimi nakumbuka wakati tunasoma, tuliwahi kurundika hasira mioyoni kwa uonevu mbalimbali tuliyofanyiwa na walimu lakini yalikuja kudhihirika siku ambayo uji uliwekwa sukari kidogo.
Tuligoma kunywa uji kwasababu ya kudai sukari haitoshi, walipoleta sukari ili iongezwe sukari ilimwagwa na madai yakabadilika yakahamia kwenye uonevu wa walimu, baadaye madai yakageuka kwenda kwa Mkuu wa shule, baadaye mawe yakaanza kurindima kuelekea majengo ya ofisi na nyumba za walimu walengwa
Walimu wakakimbia, vikao vikafanyikia wanapojua wao, hadi kufikia mchana shule ilitawaliwa na wanafunzi. Yote haya yalitokea siku hiyo bila kupangwa na yeyote. Hakuna wanafunzi walikaa wakakubaliana eti siku fulani tugome kunywa uji, No! Ni kwamba watu walianzisha minong'ono tu kuwa ooh sukari haitoshi, ooh kwanini sukari haitoshi...watu wakaitikia kweli sukari haitoshi sukari haitoshi...baada ya hapo kilichotokea hakuna aliyeamini
Aliyekuja kuwatuliza wanafunzi ni mwalimu mmoja aliyekuwa anaheshimika japo na yeye alifanya timing; kusubiri joto lishuke kwanza
Starting point huwa haipangwi bali inatokea automatically. Ndiomaana nawashangaa wanaosema octoba 29 sijui wataandamana, mara watatoka, hakuna kitu hapo. Leo ilikuwa ni golden chance!
Kiukweli sijuani na Polepole na hanijui,mimejikuta nimeumia mnoo kwa ajili yake,sijapata mood ya kazi kabisa leo..na kwa mara ya kwanza nimeliombea Taifa la Tanzania.Ndio mi nilijua hayupo na kiukweli niliona afadhali sbb hali inaeleweka
Ok basi kubaki nchini ni sawa,wasaidizi wa nn ndugu?
Kwa hali hii? Sikutegemea kwakweli
Nimejikuta sielewi niumie au nifanye nn
Wasaidizi 2 alikua nao ndio waliomuuza. Mpaka sasa hawajulikani walipo.Kwann hukumshauri asiwe na wasaidizi?