Aliyeko karibu na Polepole

Polepole hayuko nchini, zile picha za hapa ni wapi akiwa Dar CBD ni za zamani.
Hata muchungaji askofu wa ufufuo hayuko nchini. Kwa jeshi hili la Muliro wa intelegensia wangesha pewa kesi za uhaini.
 
Bro unatafuta umaarufu ama nini? Mpaka Polepole mwenyewe anajuwa kuwa anawindwa, kuna mtu hii nchi hajui kuwa Polepole anapaswa kuwa makini?
anapenda kiki nothing new,vitu vyote anavyoongea always ni vitu watu wote tunavijua sijui ni ugonjwa wa akili kwanini mtu anatafuta kuwa relevant kiasi hiki?
mfano hapo anasema amesha pata access ya polepole bado amekuja kupost huku tena what’s that for?kutujulisha kuwa anayo access ya polepole au nini🤔
 
Ile view na background ni green screen Mzee😀
HP ni kichwa kingine kile😀😀😀
 
Hongera sana. Msingi wa swali langu ulizingatia neno uliloandika "bro unatafuta umaarufu ama nini" mkuu Britanicca ni mtu maarufu sana humu JF. Nilidhani wewe ni new member. Sawa.
Namsoma Britanicca, najua anasifika kwa post za namna gani, na hiko ndio haswaa kimenishangaza. Mtu kama yeye sio wa kupost thread kutoa onyo kwa polepole, pole pole mwenyewe anasema anatafutwa, sasa unamuonya nini hapo?
 
Ungepita kimya kimya kama unaaga maitii pia sio MBAYA.
 
Huko alipo yuko safe zaidi, TISS hawana uwezo
 
Awe makini mnooo
Sitafunguka sana

Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!!

Britanicca
Mwambie atoe mwongozo tunajikomboa vipi na wahuni before October 29.
Atangaze kupitia radio mbao za jirani zetu.

Tutaandika weeeeh tutaongea weeeeeh then what?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…