Aliyejuu mfuate hukohuko

Ukmngoja chini utachelewa au hashuki ng'o...!!!
 
But hii pic haipo clear Mshana Jr. ..ulipiga na 1.5 mega pixel nn mzazi?? Viwango na speed vinadrop kaka ..!
 
Last edited by a moderator:
Wengine hawafuatiki, ukimfuata unakula kipigo cha mbwa mwizi.:fencing:
 
Hata ukinifuata hunipati narukia mti wa pili, je wewe unesema na nyonga zako?
 
Mkuu ubaya wenzetu wakishapanda huko juu...wanatoa ngazi...au wanakata kamba
 
Hii picha ni Mwanza, huyo jamaa juu alijinyonga

SAMAHANI KWA PICHA HIZI: MKAZI WA ILEMELA JIJINI MWANZA AJINYONGA JUU YA MTI

​
 
Ni kweli kabisa

Huwa nasemaga kitu kimoja kuwa zike dakika za mwisho za MTU anapoamua kuutoa uhai wake akipata neno la faraja moja tu toka kwa mtu anayempenda na kumwamini maamuzi huweza kubadilika lakini bahati mbaya sana dunia ya leo kila mmoja yuko busy na lwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…