Aliyejuu mfuate hukohuko

Aliyejuu mfuate hukohuko

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,794
Reaction score
868,254
1414813821324.jpg
 
Ukmngoja chini utachelewa au hashuki ng'o...!!!
 
But hii pic haipo clear Mshana Jr. ..ulipiga na 1.5 mega pixel nn mzazi?? Viwango na speed vinadrop kaka ..!
 
Last edited by a moderator:
Wengine hawafuatiki, ukimfuata unakula kipigo cha mbwa mwizi.:fencing:
 
Hata ukinifuata hunipati narukia mti wa pili, je wewe unesema na nyonga zako?
 
Mkuu ubaya wenzetu wakishapanda huko juu...wanatoa ngazi...au wanakata kamba
 
Hii picha ni Mwanza, huyo jamaa juu alijinyonga

SAMAHANI KWA PICHA HIZI: MKAZI WA ILEMELA JIJINI MWANZA AJINYONGA JUU YA MTI


1.jpg


3D.jpg


2.jpg




Mwanaume mmoja mkazi wa Kiseke, Ilemela jijini Mwanza amekutwa amekufa baada ya kujinyonga kwa kamba juu ya mti huku mwili wake ukiwa umeharibika vibaya na kuvuja maji....

Inakadiriwa kuwa mtu huyo alijinyonga siku tatu zilizopita na chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika kutokana na mtu huyo kutoaacha ujumbe wowote huku wakazi wa eneo hilo wakishindwa kumtambua vizuri kutokana na mwili wake kuharibika.

Kutokana na hali hiyo, maafisa wa jeshi la polisi waliokuwepo eneo la tukio waliamuru mwili huo uzikwe baada ya uchunguzi wa awali wa daktari aliyekuwepo eneo la tukio.

​

​
 
Ni kweli kabisa

Huwa nasemaga kitu kimoja kuwa zike dakika za mwisho za MTU anapoamua kuutoa uhai wake akipata neno la faraja moja tu toka kwa mtu anayempenda na kumwamini maamuzi huweza kubadilika lakini bahati mbaya sana dunia ya leo kila mmoja yuko busy na lwake
 
Back
Top Bottom