Aliyegeuka Chatu

Nimegundua wengi humu ama walikuwa wadogo sana mwaka 1987 au walikuwa mikoani huko manake hii stori ilibamba sana kwenye kila kona ya jiji.

Kwa waliokuwepo Dar enzi hizo lazima watakuwa waliisikia tu.
Hii story ilitambaa sana na kwenye magazeti, hasa magazeti ya Fahari na Watu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…