Kopo la kwanza, la pili la tatu jamaa kageuka chatu! Nasikia alibadilikia bafuni! Nilikuwa natoka shule that day, nilibahatika kuuona ule umati buguruni polisi uliokuwa ukitaka kumuona chatu! Bahati mbaya nilikuwa kwenye kilakshari cha pugu kkoo nikashindwa teremka!