Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Kwenye hiyo 26 elfu, nchi vilipo hivyo visima inanufaikaje?
Nchi ni wenye nchi, watawala wakishiba nchi imeshiba,hata kama ipo ICU kwa utapiamlo.Kwenye hiyo 26 elfu nchi vilipo hivyo visima anafaidikaje?
wanawekewa mpunga hao, wanawauza watanzania wenzao.Unamuona ana akili maana ana dili na viongozi matahira.