Jinai haina ukomo; ipo siku atajibu mashtaka. Ni vema wakitambua kuwa ccm haitatawala milele.Kuna yule alisema atampoteza padri kitima, sijui sakata lake liliishia wapi
Jinai haina ukomo; ipo siku atajibu mashtaka. Ni vema wakitambua kuwa ccm haitatawala milele.Kuna yule alisema atampoteza padri kitima, sijui sakata lake liliishia wapi
Kama ni cccm atachukuliwa hatua gani? Sisi wananchi ndio tunatakiwa tuchukue hatua. Sababu cccm walishasema polisi, jw na majestic yote ni ya kwao. Hakuna mtu atajikata mkono hata kama umechafuka mavi
Kamuulize Heche
Shetani hana rafiki.Wasiojulikana wameanza kujijulisha wenyewe.
Kazi ipo.
KabisaaShetani hana rafiki.
Noma sanaNchi imeharibika hii, raia hawaogopi tena wanatishana hadharani
Kafanya kosa gani?