Aliyeandika hivi amechukuliwa hatua gani?

Aliyeandika hivi amechukuliwa hatua gani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,600
Reaction score
287,303
Screenshot_20261007_131701_Instagram.jpg
 
Watu wamesema Jaji Chande kauawa kinyama.
Spika Zungu kauawa kinyama.
Sijui nani mwingine kauawa kinyama.
Hao watu wamechukuliwa hatia gani?
In fact ,sasa ukitaka kumuua mtu unasema,"Andrew kauawa kinyama"
Halafu unasubiri kuwasikia watu watasema nini.
 
Back
Top Bottom