Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Shetani ana nguvu sana
Hahahahaaa! Afu nilikuwa sijaufuatilia mkono wa dogo! Hawa watoto wa hiki kizazi sijui wanazaliwa wameshabalehe?!
Dogo anabaki na hamu zake...Dogo anashangaa kwamba alipitaje hapa siku chache za nyuma!