Aliye tayari tuwasiliane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliye tayari tuwasiliane

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kichenchele, Aug 31, 2010.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Wana jf, mimi ni mjasiliamali mdogo ambaye ninamiliki maduka mawili(2) ya dawa baridi, nahitaji mjasiliamali ambaye yuko tayari tuungane ili tuweze kufungua pharmacy,
  aliye tayari tuwasiliane 0778008686
   
 2. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  kichenchele..
  Naomba kwanza unieleweshe mambo yafuatayo:
  1.Kufungua pharmacy inaweza ku-cost kiasi gani? (kuanzia ujengaji mpaka kulijaza duka dawa)
  2.Je wewe una uzoefu na uendeshaji wa mambo ya pharmacy?
  3.Kama jibu ni ndio... biashara yake ikoje? Pato la mwezi i.e. faida halisi inaweza kuwa kiasi gani?
  Ukiona huwezi kunijibu kwa hii thread uniletee kwa pm
   
Loading...