Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Mweh mi naomba uniunganishe na mzungu huko, nipo Qunu
Unajua bei ya Tangazo? Au na we ni kama th retired padre....
Kwani we ni mzungu?mi nataka uniunganishe na mzunguWewe wa South Africa hapana! Ila ruksa kuja kutembea kama mgeni limit 14 days
Nami mwenzenu napatikana Finland kwa mdada aliyepo huku please inbox
Kwani we ni mzungu?mi nataka uniunganishe na mzungu
nipo Qunu safarini
Jaman ni muda sasa niko mbali na home na sitaki mzungu mimi! Pls naomba msichani aliye ndani ya Schengen countries hasa hasa sweden, Norway au Denmark na ufaransa tutafutane angalau tupeane mawazo ya baba na mama!
Mweh mi naomba uniunganishe na mzungu huko, nipo Qunu
Nami mwenzenu napatikana Finland kwa mdada aliyepo huku please inbox
Mawazo ya baba na mama yakoje? Weka vizuri tangazo lako nikuunganishe na mmoja!
Sredi ya mashombe-shombe baby...
Sie wa kivule mwanagati hatutii ata kidole.
Kuna watoto huku wamevamia ndiyo maana nikatumia tafsida! Naamini umenielewa mkuu loh niunganishe maana winter ndiyo inaanza hivyo
Thanks, awe babu babu plzDeal accepted
Karudie kusoma, ufilipino ni ukweni kwanguSio ufilipino tena? we kiboko
Mi mwenzenu nipo uzungun naomba niunganshe na wazungu tu maana hapa uzunguni kwetu siwaoni.
Thanks, awe babu babu plz
Hahahaha! Kumbe unatafuta kampani ya winter! Nunua wool blanket loh!