Aliye muua mchina akamatwa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Suleiman Kova kasema wale majambazi yalio muua mke wa mchina maeneo ya kurasini tarehe 11/10/2011 wamekamatwa. Huyu mchina mwenyewe aliye uwawa ndo yule aliye sababisha wachina waandamane kwa magari zaidi ya 100 jijini dar es salaam.
Source itv. Mia
 
wangeshindwa tungewashangaa maana na Police wengine wanajihusisha katika ujambazi! hivyo pengine wapo waliojua kilichoendelea na baadaye kama lilitolewa dau ikabidi nalo walilambe!
 
yamchina yamefika mwisho vipi jairo ameishafikishwa mbele ya mahakama.
 
Jeshi la polisi wana vituko kweli. Mchina kauwawa jambazi kakamatwa, Mtanzania akiuwawa jambazi hakamatwi!! Huu kama si ujinga na upuuzi ni nini? Jeshi la Polisi la Tz. lipo kwa ajili ya kuwalinda raia wote wenjeji na wageni sio wageni tu ndio wenye kutendewa haki na si wenyeji.
 
Na unaweza ukaona waliokamatwa cyo wahusika kabisaaa wa hilo 2kio cunajua serikali ye2 kwakubambikia wa2 kesi
 
Wale askari walouwa watu Arusha tarehe Tano Januari 2011 vipi wamekamatwa?
 
Polisi tanzania ni watumwa, south beach yule kijana kauwawa yule mhindi muuaji hawakumchukulia hatua, now foreigner kauwawa ndo wanajifanya kielele.
 
Yule askari aliyewaua wafanyabiashara wa madini alikamatwa?

Na vp kuhusu yule mhindi aliyemchinja mtanzania mwenzetu? Usikute ameruhusiwa kurudi kwao badala ya kuwekwa nguvuni! Hili ndio Jeshi letu
 
wangeshindwa tungewashangaa maana na Police wengine wanajihusisha katika ujambazi! hivyo pengine wapo waliojua kilichoendelea na baadaye kama lilitolewa dau ikabidi nalo walilambe!
kUNA UHUSIANO WA WAZI NA WA KIKAZI KATI YA MAPOLISI NA MAJAMBAZI..TULIOWAHI KUVAMIWA HII YOTE TUNAIJUA!..KAMA IGP HAJUI BASI RPC ANAJUA KUWA VIJANA WAKE WAHALIFU WANAJUA! NA NI KAMA WANASHIRIKI KUTUUA!
 
Jeshi la polisi wana vituko kweli. Mchina kauwawa jambazi kakamatwa, Mtanzania akiuwawa jambazi hakamatwi!! Huu kama si ujinga na upuuzi ni nini? Jeshi la Polisi la Tz. lipo kwa ajili ya kuwalinda raia wote wenjeji na wageni sio wageni tu ndio wenye kutendewa haki na si wenyeji.

ukitaka kupoteza hata haki yako ya akiba mswahili peleka tatizo lako polisi. kwa uwazi, sheria mkononi ni bora mara tilioni kumi, kuliko polisi wa tanzania. Binafsi nina rekodi nzuri za matendo ya polisi. nimewai kuingia kwa polisi mara tano, na zote walinitoa kwa kupoteza haki yangu, ila kila walipo nichomolea dirishani, nilikata rufaa bubu and boxes were ticked!
 
nafikili ni miaka 50 ya jeshi la polisi na halakati za upendeleo, vitisho na ubambikizi wa kesi. mia
 
Usishangae mtu anabebeshwa kesi haimhusu alimradi tu Jeshi letu lijikombe kwa ma-foreigner..!
Hivi hawa watu hawajawahi kwenda nje ya nchi waone jinsi wenzetu wanavyotoa priority kwa raia wao kwanza?
 
Polisi tanzania ni watumwa, south beach yule kijana kauwawa yule mhindi muuaji hawakumchukulia hatua, now foreigner kauwawa ndo wanajifanya kielele.

hapo umenena ndugu,kazi kujipendekeza kwa ngozi nyeupe
 
Back
Top Bottom