masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Kwa kweli simjui huyu mwenye nyumba, lakini nimesikitika kwa lililompata.
Hii nyumba nzuri, tena ya kisasa, iko Ununio.
Lakini inaelekea huyuu jamaa aliuziwa kiwanja wakati wa kiangazi.
Sasa waweza kuona maji yapo hadi madirishani na angalia vizuri chini ya mnazi, gari dogo ndo limezama kabisa.
Kufanya mambo yawe mabaya zaidi, bomba la kupunguza maji toka ziwa Boko ndo linapumulia hapo hapo.
Nampa pole huyu.muwekezaji wa ndani.