Alitaka kuniibia mke, mzee wa hekima akaokoa jahazi

Sema ulichemka sana kumtuma Mkeo Ugenini peke yake kisha ukamruhusu alale Lodge.

Siku nyingine ukilazimika kumtuma mbali hakikisha ameambatana na Mtu unayemwamini, aidha ndugu yako tena mwanamke mwenzake au Mdogo wake.

Na wakifika huko wafikie Hotelini siyo Lodge.
Nilipata somo kubwa sana, cha kujifunza si kila mtu unayekutana naye ni mwema kwako.
 
Mpaka mipango ya kuoana na kutoroka nchi ilishapangwa halafu unasema Mzee hakuonja?!!!!

Na namba ya simu alitoa?!! Alipopigiwa akiwa kwa wazazi wake Mzee akasema "asante kwa ulichonifanyia" . Unawezekana they spent time together na labda na pesa kiasi akapewa sasa Mzee analalamika kama kufaidi kafaidi kidogo tu

Lakini hayo yote ni kama haya matukio yalimtokea kweli mkeo na sio alikupiga tukio. Maana chief ukatoa kauli thabit ku HIZO PESA ZA ADVANCE TUMIA ZOTE!!!!

Haiwezekani pesa za kulipia advance ya kununulia shamba ikawa ni kiasi kidogo. Anyways "pacha" wako anajua zaidi
Alitumia masaa 6 tu, akiwa hapo ugenini kabla ya kuanza safari ya kuondoka
 
Ulikuwa hujalipia mahari?...umepangwa na ukapangikaa..hekoo kwa mwanamke kwa ujanja aliotumia kuhakikisha hela inaenda kwa wazazi wake.....katengeneza movie na imekaa poa sanaa..hakuna cha babu wa congo wala nini...huyo ni mzambuli tu
 
Wazee Ni havina? Nyie washirikina tu! Pia Mzee alimgonga Kama story yako sio chai?

Kwa nini? Kama walikubaliana kuoa a overnight, that means Mkeo alikuwa hajijui.

Kwa maana hiyo Mkongo alim du mke wetu Jaman, Ila utakuja kutubishia.
niliwaza hivyo pia.
 
Endelea kumpenda mkeo ila trust me atleast once hayo yoteee yalotokea ni movie hakuna cha mkongo wala nini hiyo hela ulipigwa mchezo mkeo aliumaliza na mama yake.

Siku nyingine hakikisha kwenye ishu za maana unaambatana na mkeo.

Wewe si una vipesa? Fanya makeke mcheki kijana mmoja wa mtandao husika laini anayotumia mkeo.ukweli wote utaupata.hakikisha ni siri usimwaribia kijana wa watu kazi.

Ila nilichogundua mkeo ni ka gaidi kazoefu yawezekana ana laini ya siri ilo nalo kuwa nalo makini.

Kama una vijisenti fanya nilichokwambia.

Afu wewe mzembe sana hiyo ishu yote imetokea bila wewe unasikiliza tu kwa simu mpaka mkeo anarudi kwako na wewe umerelux? Wenda nakupotosha ila hizi familiya mnazooa unakuta mama na binti yake ni wale wale.siku zote ni kupanga ujinga ujinga.

Narudia tena hakikisha unafatilia hili swala. Zawadi za xmass wewe watumie tu hao wazee wezi utalipwa mbinguni.
kuna ukwwli ndani yake, afu nimekumbka mbali sana lol
 
Mimi ndio maana sitakagi mtu nisiyemfahamu aniongeleshe.

Kuna siku nipo maeneo ya tigo makumbusho akaja mbaba mmoja akaniuliza saiv ni saa ngap. Kabla nimjibu namuona amevaa saa mkononi machale yakanicheza nikamwambia sijui. Akatoka yeye akaja mmama ananiuliza hosptal ya TMJ iko wapi nikamwmabia sijui waulize madereva wa bajaj. Baada ya muda naona wale watu wawili wanaongozana.

Kimoyo moyo nikasema hawa ni wanga tu wanaweza kukufanya ushikwe na bumbuwazi akili ikirudi ushaibiwa. Halafu kwenye pochi nilikua na pesa na wanazinusaga.

Tusipende kuongea ongea na watu tusiowajua wengine macho yao tu yana uchawi
kna siku nipo 1St yr, pale Morocco nlitaka kuibiwa kwa style hiyo.
 
Mzee wa Ikweshen umeamua kutupiga na kitu kizito? Kama story yako itakua na ka ukweli japo ya punje ya haridari basi mkeo atakua ni mchaga au mpare.
 
Back
Top Bottom