Alitaka kuniibia mke, mzee wa hekima akaokoa jahazi

Sehemu ulizo feli.

1.kumuita mkeo pacha....kumuonesha ni jinsi gani unampenda...hii kwa mwanamke itakula kwako.

2.kumuamini mwanamke kupita kiasi...hapa lazima utakujalia kulio Cha mbwa usipo Lia Basi hauta sikia maumivu Wala sauti za watu Wala kuwa na pumnzi mapema Sana.

3.pesa ulizo nazo unazani utakuwa nazo kila siku .

4. Mzee wanaume wote tunawapenda wanawake ila sio kwa hiyo style yako......itakukost.
Kuna mambo mengi sana tume-achieve naye
 
Endelea kumpenda mkeo ila trust me atleast once hayo yoteee yalotokea ni movie hakuna cha mkongo wala nini hiyo hela ulipigwa mchezo mkeo aliumaliza na mama yake.

Siku nyingine hakikisha kwenye ishu za maana unaambatana na mkeo.

Wewe si una vipesa? Fanya makeke mcheki kijana mmoja wa mtandao husika laini anayotumia mkeo.ukweli wote utaupata.hakikisha ni siri usimwaribia kijana wa watu kazi.

Ila nilichogundua mkeo ni ka gaidi kazoefu yawezekana ana laini ya siri ilo nalo kuwa nalo makini.

Kama una vijisenti fanya nilichokwambia.

Afu wewe mzembe sana hiyo ishu yote imetokea bila wewe unasikiliza tu kwa simu mpaka mkeo anarudi kwako na wewe umerelux? Wenda nakupotosha ila hizi familiya mnazooa unakuta mama na binti yake ni wale wale.siku zote ni kupanga ujinga ujinga.

Narudia tena hakikisha unafatilia hili swala. Zawadi za xmass wewe watumie tu hao wazee wezi utalipwa mbinguni.
Ni muaminifu sana na hapendi show off zaidi ya maendeleo; iliyotokea yapo duniani, kama hayajakutokea, shukuru Mungu.
 
Wazee Ni havina? Nyie washirikina tu! Pia Mzee alimgonga Kama story yako sio chai?

Kwa nini? Kama walikubaliana kuoa a overnight, that means Mkeo alikuwa hajijui.

Kwa maana hiyo Mkongo alim du mke wetu Jaman, Ila utakuja kutubishia.
Asingeweza kufanya hivyo
 
Kabxaa..iv mwanamke ni wa kumpa pesa nyingi tena asafirie umbali hata wa km 20 tu?yaan kosa mwamba alilofanya ni kuanza kumuonesha mkewe ambae anamwita pacha kwamba ndo atahusika na project hyo....yaan hapo hapo alianza kupanga mission namna ya kuichukua hyo hela bila kuacha mazingira yyte ya ushahid nyumaa...na kwel amefanikiwa
Ni muaminifu na anayejituma sana, kama ameweza kusimamia ujenzi wa majengo mawili gorofa, achilia mbali biashara/kampuni na majengo mengine; siwezi kusema yeye ni tapeli, zaidi ya kumuheshimu kama zawadi kwangu.
 
Ulikuwa hujalipia mahari?...umepangwa na ukapangikaa..hekoo kwa mwanamke kwa ujanja aliotumia kuhakikisha hela inaenda kwa wazazi wake.....katengeneza movie na imekaa poa sanaa..hakuna cha babu wa congo wala nini...huyo ni mzambuli tu
Hawezi kufanya hivyo mkuu
 
Sema mzee nawew ulikosea Sana umamuagizaje mkeo aende sehem ngeni eti Kisa Wew Uko busy na eti anafikia lodge mwenyew, Ila unatakiwa umshukuru Mungu Sana na najua Kuna kitu kikubwa Sana umejifunza
Nilipata elimu kubwa sana mkuu, tangu siku hiyo sikurudia kosa
 
Kuhakikisha mkeo hatoibiwa walau kwa miaka miwili, fanya mchakato muongeze mtoto mwingine...

Kama umeelewa nilichomaanisha 😊.

#mama mpende mwanao; baba mpende mkeo...
😂😂😂 nikumbushe mkuu
 
Mimi ndio maana sitakagi mtu nisiyemfahamu aniongeleshe.

Kuna siku nipo maeneo ya tigo makumbusho akaja mbaba mmoja akaniuliza saiv ni saa ngap. Kabla nimjibu namuona amevaa saa mkononi machale yakanicheza nikamwambia sijui. Akatoka yeye akaja mmama ananiuliza hosptal ya TMJ iko wapi nikamwmabia sijui waulize madereva wa bajaj. Baada ya muda naona wale watu wawili wanaongozana.

Kimoyo moyo nikasema hawa ni wanga tu wanaweza kukufanya ushikwe na bumbuwazi akili ikirudi ushaibiwa. Halafu kwenye pochi nilikua na pesa na wanazinusaga.

Tusipende kuongea ongea na watu tusiowajua wengine macho yao tu yana uchawi
 
Mazoea na mtu usiyemjua ni hatari, anaweza akakugeuza wewe kuwa fursa
 
Mpaka mipango ya kuoana na kutoroka nchi ilishapangwa halafu unasema Mzee hakuonja?!!!!

Na namba ya simu alitoa?!! Alipopigiwa akiwa kwa wazazi wake Mzee akasema "asante kwa ulichonifanyia" . Unawezekana they spent time together na labda na pesa kiasi akapewa sasa Mzee analalamika kama kufaidi kafaidi kidogo tu

Lakini hayo yote ni kama haya matukio yalimtokea kweli mkeo na sio alikupiga tukio. Maana chief ukatoa kauli thabit ku HIZO PESA ZA ADVANCE TUMIA ZOTE!!!!

Haiwezekani pesa za kulipia advance ya kununulia shamba ikawa ni kiasi kidogo. Anyways "pacha" wako anajua zaidi
 
Sema ulichemka sana kumtuma Mkeo Ugenini peke yake kisha ukamruhusu alale Lodge.

Siku nyingine ukilazimika kumtuma mbali hakikisha ameambatana na Mtu unayemwamini, aidha ndugu yako tena mwanamke mwenzake au Mdogo wake.

Na wakifika huko wafikie Hotelini siyo Lodge.
 
Mimi ndio maana sitakagi mtu nisiyemfahamu aniongeleshe.

Kuna siku nipo maeneo ya tigo makumbusho akaja mbaba mmoja akaniuliza saiv ni saa ngap. Kabla nimjibu namuona amevaa saa mkononi machale yakanicheza nikamwambia sijui. Akatoka yeye akaja mmama ananiuliza hosptal ya TMJ iko wapi nikamwmabia sijui waulize madereva wa bajaj. Baada ya muda naona wale watu wawili wanaongozana.

Kimoyo moyo nikasema hawa ni wanga tu wanaweza kukufanya ushikwe na bumbuwazi akili ikirudi ushaibiwa. Halafu kwenye pochi nilikua na pesa na wanazinusaga.

Tusipende kuongea ongea na watu tusiowajua wengine macho yao tu yana uchawi
Dah! Nakumbuka ilinitokea miaka miingi sana iliyopita nikiwa shule ya msingi. Lakini stori za hao watu tulikua tunahadithiana sana. Kwahiyo katikati ya mazungumzo nikacheeeka sana halafu huyoo nikaondoka zangu.

Kuangalia nyuma nawaona wale jamaa wawili waliokua wanaongea na mimi (mmoja alikuja wakati yule wa mwanzo ananiuliza njia ya kwenda mahali fulani huku akichomekea maswali ya kuniuliza mambo yangu binafsi) haoooo wanaongozana njia moja
 
Mpaka mipango ya kuoana na kutoroka nchi ilishapangwa halafu unasema Mzee hakuonja?!!!!

Na namba ya simu alitoa?!! Alipopigiwa akiwa kwa wazazi wake Mzee akasema "asante kwa ulichonifanyia" . Unawezekana they spent time together na labda na pesa kiasi akapewa sasa Mzee analalamika kama kufaidi kafaidi kidogo tu

Lakini hayo yote ni kama haya matukio yalimtokea kweli mkeo na sio alikupiga tukio. Maana chief ukatoa kauli thabit ku HIZO PESA ZA ADVANCE TUMIA ZOTE!!!!

Haiwezekani pesa za kulipia advance ya kununulia shamba ikawa ni kiasi kidogo. Anyways "pacha" wako anajua zaidi
😂😂😂 mkuu wewe hufai kutoa ushauri
 
Back
Top Bottom