Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Unaonekana unapenda thanaaaINASHANGAZA sana! Katika hali
isiyokuwa ya kawaida mganga wa
kienyeji ‘sangoma’ mmoja aliyefahamika
kwa jina la Lambalamba amejikuta
akiingia kwenye hatua ya nusu kifo
kufuatia kupoteza fahamu baada ya
kuelemewa na majini aliyokuwa akiyatoa
shuleni.