Hitler angemsikiliza Einstein, ujerumani ingeshinda vita kuu ya pili, na dunia ya sasa isingekua ilivyo sasa, Einstein alimwambia Hitler. " I can produce tremendous energy using an atom. " Hitler akamwambia show me how then I will fund the project.
Einstein akamwambia, hapa hakuna cha mfano wala nini, ukitengeneza, umetengeneza kwani atom haionekani kwa jicho. Hitler akamnyima funding. Jamaa akapaa akaenda Marekani, wamarekani wakalifanyia kazi lile wazo lake.......
Bomu la atomic ndio lililo wafunga mdomo wajapani washirika wa Hitler.
Hili bomu lingetenezwa ujerumani....MUNGU epushia mbali... sisi sote tungekua tunaongea kijerumani sasa