Alipona kweli huyu?

Ya kwanza juu, labda kwa uwezo wa Mungu
 
Hata kama ni kwa uwezo wa maulana hapo hamna mtu tena! r.i.p
 
Uwa ahi gulya, alibheleka mabya, pye ne ngenya kuhuruduka.
 
Kama ni Sterling atapona tu ila kama ni jambazi lazima a dead...
Kuna picha ya James Bond niliiona kitu kama miaka mitano iliopita, Bond walimtelekeza kwenye kisehemu kina Mamba, Bond akaonyeshwa mfano kwanza kikachukuliwa kipande cha nyama mbichi kikatupiwa kwenye bwawa Mamba wakawa wanakigombania, baada ya hapo wakaondoka wakamwacha Bond, unajua kilichotokea ni nini?

Bond alichukua vile vipande vya nyama mbichi vilivyobakia akawatupia Mamba kisha yeye akawa anatambuka bwawa juu ya migongo ya Mamba.

Labda mkuu MO11 alitumia mbinu ya Bond ndio maana tupo nae hadi hivi sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…