mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,729
Bahati mbaya na wale waliopaswa wamsaidie wanaogopa kukosoa maana kila mtu anajali maisha yake kuliko taifa.
Bahati mbaya sijui KISHADA unafanya ninj na kinasaidiaje nchi yako, ila ni dhahiri uliyoyaandika kwenye bandiko lako kuu, ni ya kusadikika nyuma ya pazia la siasa. Mchambuzi mahiri huweka na takwimu.
Ifikapo 2020, nitapenda kusikia kutoka kwako tathmini yako mpya kuhusu Rais Magufuli.