Alipokosea Rais Magufuli na anavyoendelea kukosea

Alipokosea Rais Magufuli na anavyoendelea kukosea

Wakati umefika kila mmoja aandae handaki lake, wenye busara wanaonya lakini hawasikilizwi, maana yanaingilia sikio moja yanatokea sikio la pili, hayakai kichwani yakapimika uzito wake, pepo wa kiburi ametamalaki..
 
Siyo rahisi, Siro ameua Kibiti alivyokuwa anataka bosi wake, mtendaji/muuaji mzuri! hawezi kumtumbua

Hivi Mkuu Retired Katiba Yetu ya Sasa Inaruhusu Secession? Wananchi wa Eneo Fulani wakitaka Kujitenga Inawezekana? Maana International Laws Zinaruhusu Hii.
 
Natamani nimuone mh Rais akiwa ameshikana mikono na Mbowe kwenye sherehe za kitaifa

Natamani aanzishe debaTE YA KITAIFA YA uTENGAMANO NA AJUTIE HALI ILIYOPO.

Natamani atoe hutuba kuwa yalioyopita yamepita na aanze upya kupigania Uzalendo shirikishi baada ya debate kubaini tulipokosea.

Ngoja Tugawane Hii Nchi Vipisi Vipisi One day kwani Unadhani Secession huwa InaanZa vp!!
 
Nadhani alifanya pupa la uraisi akiamini kila kitu kinawezekana kwa wakati mmoja kumbe vitu vyengine vinawezekana kwa wakati wake mahususi na vyengine vinachukuwa muda mrefu.

Alishindwa kuweka mizania akiamini ananyoosha nchi kumbe umoja wa kitaifa kwa upande wa pili unapotea. Mizani yake haikuwa sawa na bado hajabaini maana wasaidizi wake wanampigia MAKOFI kumbe wanampoteza.
 
Rais anaishi kwa majungu....polisi wanaua raia yeye anawapigia kifua eti wanaua "maadui" wa kibiti ....hata Akwiline naye alikuwa jambazi?
AKWILINE R.I.P
 
Kwa mfano kwa nini Bunge lisimsaidie rais kuliongoza Taifa kwa kufuata sheria pale inapojidhihirisha wazi kuwa Watawala au serikali inakosea kwani kungekosekana nini ?

Au Mahakama kutenda haki kwa wakati ili nchi isitafsiriwe vibaya ?

Au hata hao watendaji wakafuata sheria bila upendeleo kwani kungekosekana nini ?

Lakini malalamiko ni kila kona na Kimataifa tunasemwa vibaya sasa kuhusu ile misingi tuliyojiwekea kwa nini ?
 
Nilitamani mpaka hatua hii iwe amekemea kupotea kwa watu. Halafu Magufuli nimjuwae mimi aendelee kuambiwa kuwa mauaji yanafanywa na " WATU WASIOIJULIKANA " halafu iwe yupo yupo tu hata kukemea ?
 
Nadhani alifanya pupa la uraisi akiamini kila kitu kinawezekana kwa wakati mmoja kumbe vitu vyengine vinawezekana kwa wakati wake mahususi na vyengine vinachukuwa muda mrefu.

Alishindwa kuweka mizania akiamini ananyoosha nchi kumbe umoja wa kitaifa kwa upande wa pili unapotea. Mizani yake haikuwa sawa na bado hajabaini maana wasaidizi wake wanampigia MAKOFI kumbe wanampoteza.

Yeye ana objectives zake, na katika hizo objectives amezipanga kwa priorities, hajafanya pupa na wala hafanyi mambo kama mnavyodhani. huwezi ingia ofisini bila ya kuwa mipango, na hiyo mipango ukaipanga kwa vipaumbele
 
Ukijiondoa wewe kwenye umoja wa kitaifa au ukipotea wewe usitake na kuwasemea wengine, mimi niko vizuri na umoja wa kitaifa sijapotea na wala sitegemei kupotea maana misingi ni ileile na sasa iko vizuri zaidi maana inasimamiwa ipasavyo
 
Natamani nimuone mh Rais akiwa ameshikana mikono na Mbowe kwenye sherehe za kitaifa

Natamani aanzishe debaTE YA KITAIFA YA uTENGAMANO NA AJUTIE HALI ILIYOPO.

Natamani atoe hutuba kuwa yalioyopita yamepita na aanze upya kupigania Uzalendo shirikishi baada ya debate kubaini tulipokosea.
tutakutana 2020 wakati wa kampeni; sasa hivi tunatekeleza ilani yetu ya uchaguzi; miluzi mingi.....
 
Yeye ana objectives zake, na katika hizo objectives amezipanga kwa priorities, hajafanya pupa na wala hafanyi mambo kama mnavyodhani. huwezi ingia ofisini bila ya kuwa mipango, na hiyo mipango ukaipanga kwa vipaumbele

Kila kipaumbele kinatazamwa ile tija yake .

unataka kusema kuminya uhuru wa habari na kukosoa kuwa ni vipaumbele vya magufuli ? Basi tutakuwaq tunahasara kweli .
 
Ukijiondoa wewe kwenye umoja wa kitaifa au ukipotea wewe usitake na kuwasemea wengine, mimi niko vizuri na umoja wa kitaifa sijapotea na wala sitegemei kupotea maana misingi ni ileile na sasa iko vizuri zaidi maana inasimamiwa ipasavyo
Hajiondowi mtu hapa.

Kukosea njia njia SIO MWISHO WA SAFARI. BADO JPM ANAYO FURSA PANA YA KUFIKIA MALENGO HUKU TANZANIA IKISTAWI KWA DEMOKRASIA, UMOJA NA MSHIKAMANO. ARUDI TU KWENYE MISINGI.
 
Namshauri aongeze spidi ya kuwabana vilivyo ili tuondokane na upuuzi...Taifa lilibaki nyuma kwa hayo mnayoyaita checks and balance
....miradi ya maendeleo ilikuwa haiendi na fedha zinaliwa tu
Miradi ipi ya maendeleo inayoendelea sasa tofauti na awamu zilizopita ..............!!?

Huoni hata miradi ya kuzindua/kufungua imekauka kama uyoga .......... mpaka anataka kwenda kufungua Misikiti!!?
 
Yeye ana objectives zake, na katika hizo objectives amezipanga kwa priorities, hajafanya pupa na wala hafanyi mambo kama mnavyodhani. huwezi ingia ofisini bila ya kuwa mipango, na hiyo mipango ukaipanga kwa vipaumbele
Haya unayosema hayako kwenye uhalisia wa utawala huu wa magufuli.

Maendeleo yanawekewa Red lines, huwezi kuhatarisha usalama wa nchi, umoja na mshikamano halafu ukasema unafanya maendeleo. Itakuwa kuna sehemu umekosea tu.
 
Mimi naona wapinzani ndiyo walikuwa wa kwanza kumbagua yeye kamalizia tu!
Tuliona walivyomkimbia bungeni mara ya kwanza
Tunaona wanavyopenda ashindwe kwenye uongozi wake utafikiri wao ni wapita njia!
Mawazo kuwa anaferi hayo ni maoni yako
Kikubwa sisi tunataka maendeleo ,mambo yenu ya demokrasia wapelekee wazungu!

Pole dogo, maisha ni hatua, ukikua utaelewa
 
KISHADA Miaka 10 sio mingi, upepo mbaya utapita lakini Mama Tanzania atabaki; tutaanza moja kwa mapenzi ya Mungu
 
sio makosa yote ni ya kibinadamu makosa mengine Mungu kwa hekima yake anayaruhusu yatokee ili watu akili ziwakae sawa
 
Mimi naona wapinzani ndiyo walikuwa wa kwanza kumbagua yeye kamalizia tu!
Tuliona walivyomkimbia bungeni mara ya kwanza
Tunaona wanavyopenda ashindwe kwenye uongozi wake utafikiri wao ni wapita njia!
Mawazo kuwa anaferi hayo ni maoni yako
Kikubwa sisi tunataka maendeleo ,mambo yenu ya demokrasia wapelekee wazungu!
Hayo maendeleo hayanyeshi kama mvua bali ni mipango shirikishi ya namna ya kuyafanya ili yawezekane! Demokrasia na maendeleo ni ndugu moja ukiacha kuitumia demokrasia huwezi kupata maendeleo! Ione Zaire na south Sudan kwa mfano mdogo tu kisha utabaini umuhimu wa demokrasia katika kufanya maendeleo! Wazungu wanaijua faida ya Demokrasia ndio maana maendeleo yao yanapaa!
 
KISHADA Kishada umeandika sana but hivi nikweli haya umeandika yana reflect kile kinafanyika na hapa ndipo watanzania tunakosea sana
 
Back
Top Bottom