Kikwete ameshindwa ameshindwa tu, alifikiri kuendesha nchi ni sawa na kucheza bongo movie!
Leo MNAMTUKANA kwenye mitandao halafu mnasema amekua TOO TRANSPARENCETAWA "Too transparence" uwazi kupita kiasi wa serikali hii. Serikali imekuwa wazi kwa kila kitu hata vile ambavyo havikupaswa kuwa wazi. Imefika wakati watu wanadai mpaka vitu vya ndani kabisa, mfano hati ya muungano.
- kuzurura kupita kiasi. Nimejaribu kutafakari kwa sauti. Tukosoane kwa staha.
Leo MNAMTUKANA kwenye mitandao halafu mnasema amekua TOO TRANSPARENCE
Kipindi cha Jakaya ni miezi 6 tu imebaki lakini kwa atakayetawala kwa AMANI km yeye hamtakaa mumpate
- Mlitaka awe kama Uhuru Kenyatta muanze kufuatiliwa humu JF?
- Mnataka awe km M7 baadhi ya mitandao ifungwe
- au Pauli K na vituo vyenu vya redio vifungwe
- Kwanini msijipimishe na Korea kwenye utawala wa kiimla ukisinzia kwenye Hafla za Rais au Bunge ni KIFO
- Zimbabwe
- DRC
'TAKE MY NOTE'
Kikwete ameshindwa ameshindwa tu, alifikiri kuendesha nchi ni sawa na kucheza bongo movie!
Kha!! R U serious!! ?? We have the weakest president under the sun!! take my note!! Chemkapa alikuwa mkali lakini uchumi ulikuwa na alileta heshima ya wafanyakazi!! Mwinyi alikuwa mpole lakini alikuwa na washauri wazuri! LAKINI huyu ni kilaza halafu amezungukwa na washkaji kama wasaidizi!! Hakubali wala ushauri!! Umenfaham!??Leo MNAMTUKANA kwenye mitandao halafu mnasema amekua TOO TRANSPARENCE
Kipindi cha Jakaya ni miezi 6 tu imebaki lakini kwa atakayetawala kwa AMANI km yeye hamtakaa mumpate
- Mlitaka awe kama Uhuru Kenyatta muanze kufuatiliwa humu JF?
- Mnataka awe km M7 baadhi ya mitandao ifungwe
- au Pauli K na vituo vyenu vya redio vifungwe
- Kwanini msijipimishe na Korea kwenye utawala wa kiimla ukisinzia kwenye Hafla za Rais au Bunge ni KIFO
- Zimbabwe
- DRC
'TAKE MY NOTE'
Nabii hasifiwi nyumbani, nyie endeleeni, JK ni miongoni mwa watu maarufu duniani.Kha!! R U serious!! ?? We have the weakest president under the sun!! take my note!! Chemkapa alikuwa mkali lakini uchumi ulikuwa na alileta heshima ya wafanyakazi!! Mwinyi alikuwa mpole lakini alikuwa na washauri wazuri! LAKINI huyu ni kilaza halafu amezungukwa na washkaji kama wasaidizi!! Hakubali wala ushauri!! Umenfaham!??
Mnaweweseka tu, JK kafanya makubwa na kamwe hamtakaa aje mwenye kufanya kama yeye.Hana sifa hata moja ya uongozi, hakustahili kuwa Rais na yeye na kundi lake la mtandao walilijua hili ndio sababu wakatumia njia za panya kuingia madarakan.
Kama tutakubali kuwa wakwel, toka mwaka 2005 alipoingia madarakani rais Kikwete mambo yamekuwa yakienda mrama na wakosoaji wa serikali wamekuwa wakiongezeka siku kwa siku. Hii kwa tafsiri isiyo rasmi inaonesha kuwa rais amekosea kwa baadhi ya maeneo katika serikali yake.
-"Ushkaji" au urafiki kwa lugha iliyo rasmi. Rais wakati wa ingwe yake ameunda serikali ya kirafiki ambapo asilimia kubwa ya mawaziri na watendaji wengi ndani ya serikali ni marafiki zake jambo linalomfanya asiwe na meno kwa marafiki zake hao.
- Visasi na makundi ndani ya chama ambayo yanatokana na kambi za chaguzi ndani ya chama 2005,hivyo kundi lililoshindwa kutaka kukmoa kundi lilioshinda. Mfano mzuri Mark Mwandosya, Abdallah kigoda ambao pamoja na umahili wao hawakuwemo katika baraza 2005 - 2010. Pia kesi ya Kujiudhuru kwa EL kama waziri mkuu ambalo wengi hamjui nini kilichopo nyuma ya pazia.
- "Too transparence" uwazi kupita kiasi wa serikali hii. Serikali imekuwa wazi kwa kila kitu hata vile ambavyo havikupaswa kuwa wazi. Imefika wakati watu wanadai mpaka vitu vya ndani kabisa, mfano hati ya muungano.
- kuzurura kupita kiasi. Wakosoaji wanasema rais ametumia zaidi ya 30% ya muda wake wote kutembea nchi mbalimbali kwa shughuli za kikazi. Hii imemfanya Rais kutojua baadhi ya mambo yanayoendelea nchini. Amefikia wakati hajui hata kwa nn nchi ni masikini. Hawezi jua kwa kuwa haishi nchini kwa 30%.
Nimejaribu kutafakari kwa sauti.
Tukosoane kwa staha.

Mnaweweseka tu, JK kafanya makubwa na kamwe hamtakaa aje mwenye kufanya kama yeye.
Are u serious?yaani Muungano ni jambo linalokuhusu why lisiulizwe?uwazi gani unaouna wewe umepita mipaka.........unakumbuka kuna gazeti lilipigwa ban kwa kuchapisha viwango vya mishahara?kuna uwazi hapo?Kama tutakubali kuwa wakwel, toka mwaka 2005 alipoingia madarakani rais Kikwete mambo yamekuwa yakienda mrama na wakosoaji wa serikali wamekuwa wakiongezeka siku kwa siku. Hii kwa tafsiri isiyo rasmi inaonesha kuwa rais amekosea kwa baadhi ya maeneo katika serikali yake.
-"Ushkaji" au urafiki kwa lugha iliyo rasmi. Rais wakati wa ingwe yake ameunda serikali ya kirafiki ambapo asilimia kubwa ya mawaziri na watendaji wengi ndani ya serikali ni marafiki zake jambo linalomfanya asiwe na meno kwa marafiki zake hao.
- Visasi na makundi ndani ya chama ambayo yanatokana na kambi za chaguzi ndani ya chama 2005,hivyo kundi lililoshindwa kutaka kukmoa kundi lilioshinda. Mfano mzuri Mark Mwandosya, Abdallah kigoda ambao pamoja na umahili wao hawakuwemo katika baraza 2005 - 2010. Pia kesi ya Kujiudhuru kwa EL kama waziri mkuu ambalo wengi hamjui nini kilichopo nyuma ya pazia.
- "Too transparence" uwazi kupita kiasi wa serikali hii. Serikali imekuwa wazi kwa kila kitu hata vile ambavyo havikupaswa kuwa wazi. Imefika wakati watu wanadai mpaka vitu vya ndani kabisa, mfano hati ya muungano.
- kuzurura kupita kiasi. Wakosoaji wanasema rais ametumia zaidi ya 30% ya muda wake wote kutembea nchi mbalimbali kwa shughuli za kikazi. Hii imemfanya Rais kutojua baadhi ya mambo yanayoendelea nchini. Amefikia wakati hajui hata kwa nn nchi ni masikini. Hawezi jua kwa kuwa haishi nchini kwa 30%.
Nimejaribu kutafakari kwa sauti.
Tukosoane kwa staha.
Mdau kuna uwezekano rais ajaye akashindwa kufanya kufanya kama alivyofanya JK kwa sababu atakumbana na deni kubwa sana,trillion 30+ si pesa ya kitoto,sasa huyo atakayekuja atakua busy kulipa madeni badala ya kujikita kwenye maendeleoMnaweweseka tu, JK kafanya makubwa na kamwe hamtakaa aje mwenye kufanya kama yeye.