Alipokosea Jakaya Mrisho Kikwete

Alipokosea Jakaya Mrisho Kikwete

Kiukweli jakayo kaendesha inchi vizuri kuliko raisi yyte inchi hii ila tu wakosoaji wapo kote dunia isipokuwa mbingun kunbuken no body is perfect except GOD
JK yupo sahihi kabisa na katawala vizuri
ila binadamu wapo wenye husda na fitina
kwa vile ni miezi 6 tu atang'oka tusubiri huyo ajaye
badala ya JK
 
Kiukweli jakayo kaendesha inchi vizuri kuliko raisi yyte inchi hii ila tu wakosoaji wapo kote dunia isipokuwa mbingun kunbuken no body is perfect except GOD

sasa hivi kuna vuguvugu mbaya sana za kidini kuliko vipindi vyote vya utawala ktk nchi hii. Kuwapa udc wahuni ndio kuongoza vizuri?
 
Amefanya kazi kubwa ya kuzurura nje na kucheka cheka hovyooooo
 
Kha!! R U serious!! ?? We have the weakest president under the sun!! take my note!! Chemkapa alikuwa mkali lakini uchumi ulikuwa na alileta heshima ya wafanyakazi!! Mwinyi alikuwa mpole lakini alikuwa na washauri wazuri! LAKINI huyu ni kilaza halafu amezungukwa na washkaji kama wasaidizi!! Hakubali wala ushauri!! Umenfaham!??
mangikule
Tatizo la Wachagga hamjifichi na chuki zenu za kitoto
na ndio maana mnaambiwa ni ndoto kutawala hata ije karne ya 40
Mrema alipojitokeza hata nubrash viatu mliacha
Mbowe akagombea na yeye mkautaka hata ukuu wa Wilaya
Mbatia naye
hivi kwanini mna chuki zisizo na uzito
mmeshuka migombani mmetapakaa kila mahali Mangi, MANG, mangimangi kulekule
mnataka atawale nani sasa km hata Zitto mnamfukuza?
nipe sababu moja tu ya JK aliyowanyima mpaka mnamuita Kilaza kazungukwa na washikaji AU kawaacha wachagga mangikule
 
Hana sifa hata moja ya uongozi, hakustahili kuwa Rais na yeye na kundi lake la mtandao walilijua hili ndio sababu wakatumia njia za panya kuingia madarakan.
Ni ujinga wa wetu ndiyo unatusumbua. Mwalimu alimkataa kuwa hafai ni mtoto, Jk akiwa na miaka 45, wakati Mwalimu alianza kutawala akiwa na miaka 38. Tungekuwa na akili nzuri Jk hakusitahi kupewa hiyo nafasi na juzi alitamka yeye mwenye kuwa na sauti nzuri, bahati uraisi ulimdondokea lasivyo angelikuwa bongo flava. Bado tunataka kufanya makosa mengine, sasa ni kushabikia mtu mwingine aliyekataliwa 1995, ambaye aliulizwa alikopata utajiri, hadi leo hajasema. watu wengi bado hawajui uhusiano wa watawala na raia wake katika kuleta maendeleo ya nchi. Ndiyo maana ukifika uchaguzi watu wanapewa kanga wanaona hiyo ndiyo mali, kumbe anauziwa mbuzi kwenye gunia. Shukrani kwa upinzani kutoa elimu ya uraia, kidogo watu wameanza kufunguka macho.
 
Kwa kweli Jakaya amekuwa rais bora kwangu na kama alivyosema ukwaju sijui kama tutapata rais mwingine kama huyu.
 
Nchi nzima mwenye upeo wakuona mbali alikuwa nyerere tu aibu kubwa hii.lowasa anafuata nyayo hizohizo ukawa wapo watz hawaelewi kabiza
 
Hata shetani ana wapambe, jambazi, changudoa, muuaji orodha ni ndefu sembuse rais
Kiukweli jakayo kaendesha inchi vizuri kuliko raisi yyte inchi hii ila tu wakosoaji wapo kote dunia isipokuwa mbingun kunbuken no body is perfect except GOD
 
Kuna tofauti kati ya kuwa dhaifu na kuwa muwazi...lakini pia ameshindwa kujitofautisha kati ya rais na yeye binafs...
 
Nabii hasifiwi nyumbani, nyie endeleeni, JK ni miongoni mwa watu maarufu duniani.

Ndoorobo wewe! Tunaongelea umaarufu hapa? Kama umaarufu ndiyo uongozi bora basi tumpe urais Diamond!
 
Mdau kuna uwezekano rais ajaye akashindwa kufanya kufanya kama alivyofanya JK kwa sababu atakumbana na deni kubwa sana,trillion 30+ si pesa ya kitoto,sasa huyo atakayekuja atakua busy kulipa madeni badala ya kujikita kwenye maendeleo
Rais ajaye ana wakati mgumu sana. Atakuwa hawezi kukopa sijui itakuwaje
 
Kwangu mimi Jk ni Rais bora

Jina lenyewe waukae unategemea utazungumza yaliyo na maana. Haya we mkwere wa wapi? Pingo, gwata, chamakweza, fukayosi, ubena au mdaula?
 
Watanzania ni kulalamika tu, hata mkapa walimlaani lakini sasa wanamuona wa maana, mnazzoooza sana
 
Lakini kama watz huyu bwana ametugawa zaidi badala ya kuunganisha nchi,pia napata shida kama dhana ya utawala bora anaijua vizuri angalia mifano michache tu; ktk utawala wake wake mapolisi wanawapiga watu risasi na kuwaua,vyama vya upinzani haviruhusiwi kufanya shughili zake kwa uhuru,uwizi serikalini,mali asili yetu vinateketea,majadiliano na viongozi wenzako hazipi kipaumbele.

Nadhani hakutosha na najututia kumpigia kura rais kama huyu.

We kweli mpuuzi nyie machagadomo ndio mnaowagawa watu kwa dini zao na makabila hebu angalieni muundo wa saccos yenu.

Kuhusu demokras we kweli hamnazo, JK hajazuia mikutano angali ulivyosahau juzi tu mlikuwa mikoani na mikutano yenu isiyokwisha halafu leo mnaaema mnazuiwa. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Kikwete wala hana makosa kwa sababu yeye anajua hana makosa... Bahati mbaya ni kuwa wafuasi wake nao wanaamini kuwa rais wao hana makosa...!!!

Kifupi tu niseme wenye makosa ni wapiga kura...make wengi hawajitambui...Wengi hawajui sababu ya kufanya uchaguzi na zaidi ya yote hawajui sifa za kiongozi mkuu wa nchi...!!

Ukirudi kwa Kikwete...yaani huyo wa kumwacha tu aende zake... Nimemshuhudia jana akifanya ziara ya kutembelea maeneo yaliyoathirika na mafuriko... yaani ni aibu... He has got neither decisions nor solutions...!
 
Kwa kweli Jakaya amekuwa rais bora kwangu na kama alivyosema ukwaju sijui kama tutapata rais mwingine kama huyu.
Hatuwezi kupata mwingine, kwa sababu anayeondoka ni Kikwete na atakayekuja si Kikwete hata kama akiwa mwanaye ila hatakuwa Kikwete huyu.......sasa utapataje rais mwingine kama huyu........THINK BEYOND:typing:
 
Back
Top Bottom