Alipokosea Jakaya Mrisho Kikwete

Alipokosea Jakaya Mrisho Kikwete

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Kama tutakubali kuwa wakwel, toka mwaka 2005 alipoingia madarakani rais Kikwete mambo yamekuwa yakienda mrama na wakosoaji wa serikali wamekuwa wakiongezeka siku kwa siku. Hii kwa tafsiri isiyo rasmi inaonesha kuwa rais amekosea kwa baadhi ya maeneo katika serikali yake.

-"Ushkaji" au urafiki kwa lugha iliyo rasmi. Rais wakati wa ingwe yake ameunda serikali ya kirafiki ambapo asilimia kubwa ya mawaziri na watendaji wengi ndani ya serikali ni marafiki zake jambo linalomfanya asiwe na meno kwa marafiki zake hao.

- Visasi na makundi ndani ya chama ambayo yanatokana na kambi za chaguzi ndani ya chama 2005,hivyo kundi lililoshindwa kutaka kukmoa kundi lilioshinda. Mfano mzuri Mark Mwandosya, Abdallah kigoda ambao pamoja na umahili wao hawakuwemo katika baraza 2005 - 2010. Pia kesi ya Kujiudhuru kwa EL kama waziri mkuu ambalo wengi hamjui nini kilichopo nyuma ya pazia.

- "Too transparence" uwazi kupita kiasi wa serikali hii. Serikali imekuwa wazi kwa kila kitu hata vile ambavyo havikupaswa kuwa wazi. Imefika wakati watu wanadai mpaka vitu vya ndani kabisa, mfano hati ya muungano.

- kuzurura kupita kiasi. Wakosoaji wanasema rais ametumia zaidi ya 30% ya muda wake wote kutembea nchi mbalimbali kwa shughuli za kikazi. Hii imemfanya Rais kutojua baadhi ya mambo yanayoendelea nchini. Amefikia wakati hajui hata kwa nn nchi ni masikini. Hawezi jua kwa kuwa haishi nchini kwa 30%.

Nimejaribu kutafakari kwa sauti.

Tukosoane kwa staha.
 
Kikwete ameshindwa ameshindwa tu, alifikiri kuendesha nchi ni sawa na kucheza bongo movie!
 
Lakini kama watz huyu bwana ametugawa zaidi badala ya kuunganisha nchi,pia napata shida kama dhana ya utawala bora anaijua vizuri angalia mifano michache tu; ktk utawala wake wake mapolisi wanawapiga watu risasi na kuwaua,vyama vya upinzani haviruhusiwi kufanya shughili zake kwa uhuru,uwizi serikalini,mali asili yetu vinateketea,majadiliano na viongozi wenzako hazipi kipaumbele.

Nadhani hakutosha na najututia kumpigia kura rais kama huyu.
 
Nchi inaenda mrama
 
Kikwete ameshindwa ameshindwa tu, alifikiri kuendesha nchi ni sawa na kucheza bongo movie!

TAWA "Too transparence" uwazi kupita kiasi wa serikali hii. Serikali imekuwa wazi kwa kila kitu hata vile ambavyo havikupaswa kuwa wazi. Imefika wakati watu wanadai mpaka vitu vya ndani kabisa, mfano hati ya muungano.
- kuzurura kupita kiasi. Nimejaribu kutafakari kwa sauti. Tukosoane kwa staha.
Leo MNAMTUKANA kwenye mitandao halafu mnasema amekua TOO TRANSPARENCE
  • Mlitaka awe kama Uhuru Kenyatta muanze kufuatiliwa humu JF?
  • Mnataka awe km M7 baadhi ya mitandao ifungwe
  • au Pauli K na vituo vyenu vya redio vifungwe
  • Kwanini msijipimishe na Korea kwenye utawala wa kiimla ukisinzia kwenye Hafla za Rais au Bunge ni KIFO
  • Zimbabwe
  • DRC
Kipindi cha Jakaya ni miezi 6 tu imebaki lakini kwa atakayetawala kwa AMANI km yeye hamtakaa mumpate
'TAKE MY NOTE'
 
Udhaifu mkubwa zaidi ni ule mfumo uliotumika kumuingiza madarakani. Nguvu kubwa ya pesa ilitumika pasipo sisi wananchi kujua wala kuhoji zile hela zilitoka wapi na zitarudi vp maana hawa viongozi si wafanyabiashara wakubwa kiasi cha kutumia nguvu ile kuyasaka madaraka.
Hivyo alipoingia madarakani alihitaji kulipa fadhila kwa `waliomfadhili`, ndicho ambacho leo hii tunamlaumu Dr pamoja na CCM yake.

Leo hii anakuja mwingine Mr EL, style ile ile ya kutumia nguvu kubwa ya pesa ndo anaitumia kutengeneza njia kwenda magogoni na bado anaonekana kama ndo tumaini la nchi, mwokozi wa nchi!!
 
Leo MNAMTUKANA kwenye mitandao halafu mnasema amekua TOO TRANSPARENCE
  • Mlitaka awe kama Uhuru Kenyatta muanze kufuatiliwa humu JF?
  • Mnataka awe km M7 baadhi ya mitandao ifungwe
  • au Pauli K na vituo vyenu vya redio vifungwe
  • Kwanini msijipimishe na Korea kwenye utawala wa kiimla ukisinzia kwenye Hafla za Rais au Bunge ni KIFO
  • Zimbabwe
  • DRC
Kipindi cha Jakaya ni miezi 6 tu imebaki lakini kwa atakayetawala kwa AMANI km yeye hamtakaa mumpate
'TAKE MY NOTE'

Funguka kidogo braza hatuzungumzii transparence mitandaoni, tunasema serikali sasa haina siri hata wapelelezi wa serikali tunakunywa nao bar tukiwa tunawajua wazi.
 
Hana sifa hata moja ya uongozi, hakustahili kuwa Rais na yeye na kundi lake la mtandao walilijua hili ndio sababu wakatumia njia za panya kuingia madarakan.

Kikwete ameshindwa ameshindwa tu, alifikiri kuendesha nchi ni sawa na kucheza bongo movie!
 
Leo MNAMTUKANA kwenye mitandao halafu mnasema amekua TOO TRANSPARENCE
  • Mlitaka awe kama Uhuru Kenyatta muanze kufuatiliwa humu JF?
  • Mnataka awe km M7 baadhi ya mitandao ifungwe
  • au Pauli K na vituo vyenu vya redio vifungwe
  • Kwanini msijipimishe na Korea kwenye utawala wa kiimla ukisinzia kwenye Hafla za Rais au Bunge ni KIFO
  • Zimbabwe
  • DRC
Kipindi cha Jakaya ni miezi 6 tu imebaki lakini kwa atakayetawala kwa AMANI km yeye hamtakaa mumpate
'TAKE MY NOTE'
Kha!! R U serious!! ?? We have the weakest president under the sun!! take my note!! Chemkapa alikuwa mkali lakini uchumi ulikuwa na alileta heshima ya wafanyakazi!! Mwinyi alikuwa mpole lakini alikuwa na washauri wazuri! LAKINI huyu ni kilaza halafu amezungukwa na washkaji kama wasaidizi!! Hakubali wala ushauri!! Umenfaham!??
 
Nabii hasifiwi nyumbani, nyie endeleeni, JK ni miongoni mwa watu maarufu duniani.
 
Hana sifa hata moja ya uongozi, hakustahili kuwa Rais na yeye na kundi lake la mtandao walilijua hili ndio sababu wakatumia njia za panya kuingia madarakan.
Mnaweweseka tu, JK kafanya makubwa na kamwe hamtakaa aje mwenye kufanya kama yeye.
 
Nimemsikia Dokta mmoja kutoka REPOA akielezea juu ya 'political will', kwamba Dar es Salaam ni jiji ambalo limezidiwa tayari na shughuli za binadamu wakati halina huduma za jamii kama maji.
Sasa political will ilivyotumika kutoa gesi Mtwara kuileta Dar es Salaam/Bagamoyo ingelitumika hiyo hiyo kuleta maji kutoka Ruvu/Rufiji kuja Dar es Salaam ingelimuachia historia katika utawala wake.
 
mimi sijui chochote cha uongozi, ila msafara wake hasa anapoenda uwanja wa taifa ni mzuri,magari yanapendeza!
 
alipokosea Kikwete ni sehemu moja tu "Too transparence" mengine yote yalifanywa hata na watangulizi wake.

Kama tutakubali kuwa wakwel, toka mwaka 2005 alipoingia madarakani rais Kikwete mambo yamekuwa yakienda mrama na wakosoaji wa serikali wamekuwa wakiongezeka siku kwa siku. Hii kwa tafsiri isiyo rasmi inaonesha kuwa rais amekosea kwa baadhi ya maeneo katika serikali yake.

-"Ushkaji" au urafiki kwa lugha iliyo rasmi. Rais wakati wa ingwe yake ameunda serikali ya kirafiki ambapo asilimia kubwa ya mawaziri na watendaji wengi ndani ya serikali ni marafiki zake jambo linalomfanya asiwe na meno kwa marafiki zake hao.

- Visasi na makundi ndani ya chama ambayo yanatokana na kambi za chaguzi ndani ya chama 2005,hivyo kundi lililoshindwa kutaka kukmoa kundi lilioshinda. Mfano mzuri Mark Mwandosya, Abdallah kigoda ambao pamoja na umahili wao hawakuwemo katika baraza 2005 - 2010. Pia kesi ya Kujiudhuru kwa EL kama waziri mkuu ambalo wengi hamjui nini kilichopo nyuma ya pazia.

- "Too transparence" uwazi kupita kiasi wa serikali hii. Serikali imekuwa wazi kwa kila kitu hata vile ambavyo havikupaswa kuwa wazi. Imefika wakati watu wanadai mpaka vitu vya ndani kabisa, mfano hati ya muungano.

- kuzurura kupita kiasi. Wakosoaji wanasema rais ametumia zaidi ya 30% ya muda wake wote kutembea nchi mbalimbali kwa shughuli za kikazi. Hii imemfanya Rais kutojua baadhi ya mambo yanayoendelea nchini. Amefikia wakati hajui hata kwa nn nchi ni masikini. Hawezi jua kwa kuwa haishi nchini kwa 30%.

Nimejaribu kutafakari kwa sauti.

Tukosoane kwa staha.
 
Kama tutakubali kuwa wakwel, toka mwaka 2005 alipoingia madarakani rais Kikwete mambo yamekuwa yakienda mrama na wakosoaji wa serikali wamekuwa wakiongezeka siku kwa siku. Hii kwa tafsiri isiyo rasmi inaonesha kuwa rais amekosea kwa baadhi ya maeneo katika serikali yake.

- "Too transparence" uwazi kupita kiasi wa serikali hii. Serikali imekuwa wazi kwa kila kitu hata vile ambavyo havikupaswa kuwa wazi. Imefika wakati watu wanadai mpaka vitu vya ndani kabisa, mfano hati ya muungano.

Tukosoane kwa staha.

Nimekuelewa Kweli hati ya Muungano ilikuwa ndoa ya Watu wawili Nyerere na Karume kwa hiyo wengine haiwahusu.
 
Tatizo lenu nyie wanafiki mnaukimbia ukweli ulio mbele yenu. Deni la Taifa limeongezeka kwa 30 trillion thamani ya shilingi imeanguka kwa 42% kila kitu hovyo hovyo lakini bado mnasifia tu!!! Unafiki na usaliti kwa nchi yenu ni kitu kibaya sana.

Mnaweweseka tu, JK kafanya makubwa na kamwe hamtakaa aje mwenye kufanya kama yeye.
 
Kama tutakubali kuwa wakwel, toka mwaka 2005 alipoingia madarakani rais Kikwete mambo yamekuwa yakienda mrama na wakosoaji wa serikali wamekuwa wakiongezeka siku kwa siku. Hii kwa tafsiri isiyo rasmi inaonesha kuwa rais amekosea kwa baadhi ya maeneo katika serikali yake.

-"Ushkaji" au urafiki kwa lugha iliyo rasmi. Rais wakati wa ingwe yake ameunda serikali ya kirafiki ambapo asilimia kubwa ya mawaziri na watendaji wengi ndani ya serikali ni marafiki zake jambo linalomfanya asiwe na meno kwa marafiki zake hao.

- Visasi na makundi ndani ya chama ambayo yanatokana na kambi za chaguzi ndani ya chama 2005,hivyo kundi lililoshindwa kutaka kukmoa kundi lilioshinda. Mfano mzuri Mark Mwandosya, Abdallah kigoda ambao pamoja na umahili wao hawakuwemo katika baraza 2005 - 2010. Pia kesi ya Kujiudhuru kwa EL kama waziri mkuu ambalo wengi hamjui nini kilichopo nyuma ya pazia.

- "Too transparence" uwazi kupita kiasi wa serikali hii. Serikali imekuwa wazi kwa kila kitu hata vile ambavyo havikupaswa kuwa wazi. Imefika wakati watu wanadai mpaka vitu vya ndani kabisa, mfano hati ya muungano.

- kuzurura kupita kiasi. Wakosoaji wanasema rais ametumia zaidi ya 30% ya muda wake wote kutembea nchi mbalimbali kwa shughuli za kikazi. Hii imemfanya Rais kutojua baadhi ya mambo yanayoendelea nchini. Amefikia wakati hajui hata kwa nn nchi ni masikini. Hawezi jua kwa kuwa haishi nchini kwa 30%.

Nimejaribu kutafakari kwa sauti.

Tukosoane kwa staha.
Are u serious?yaani Muungano ni jambo linalokuhusu why lisiulizwe?uwazi gani unaouna wewe umepita mipaka.........unakumbuka kuna gazeti lilipigwa ban kwa kuchapisha viwango vya mishahara?kuna uwazi hapo?
 
Mnaweweseka tu, JK kafanya makubwa na kamwe hamtakaa aje mwenye kufanya kama yeye.
Mdau kuna uwezekano rais ajaye akashindwa kufanya kufanya kama alivyofanya JK kwa sababu atakumbana na deni kubwa sana,trillion 30+ si pesa ya kitoto,sasa huyo atakayekuja atakua busy kulipa madeni badala ya kujikita kwenye maendeleo
 
Kiukweli jakayo kaendesha inchi vizuri kuliko raisi yyte inchi hii ila tu wakosoaji wapo kote dunia isipokuwa mbingun kunbuken no body is perfect except GOD
 
Back
Top Bottom