Alipendwa sana Duniani.Taja Jina lake na Wasifu wake kwa kifupi.

Last edited by a moderator:
aliyekuwa Hawara wa Dodi al Fayeed, Mama Mzaz wa Prince Williams, aliyekuwa Mke wa Prince Charles aliyekuwa Mkwe wa Queen Elizabeth.Ndie Mwanamke anaeshikilia Record ya Kupigwa Picha nyingi zaid Duniani!
Another wonderful knowledge of Lady Diana family tree Songoro. Thanks!
 
Last edited by a moderator:
We ndo kilaza wa hii pepa,huyo indrah ghand wamjua au wamsikia tuu,usilete umbumbumbu wako huku
Hapana Kiboko!Aliyetoa hilo jibu si kilaza wala nini.Sura ya huyu dada imeshasumbua baadhi ya wachunguzi wa maumbile.Baadhi ya wachunguzi wanauliza hivi: Kwa nini Diana ana sura ya kihindi?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa wadau wengi wamechangia vizuri thread hii na baadhi yao kutoa majibu sahihi kabisa na mmoja@Ukweli1 kutupanua mawazo kuhusu alichopanga kufanya lady Diana, ni mwafaka sasa kutamka kwamba mdau yeyote asisumbuke kuchangia tena hapa. Kwa maneno rahisi: Michango imefungwa!
 
Hapana, sijawahi kusikia. Ila kuna Waingereza wenye sura za Kihindi na ni wengi sana. Kwa bahati mbaya mie siyo mwenyeji wa UK na siwezi kukuambia ni mu-UK wa wapi. Ila kwa kumwangalia PUA na UREFU, ana sura ya kawaida sana kwa Waingereza. Wahindi pua zako zinakuwa zimepinda kidogo na kufanya Arc kwenye mgongo wa PUA ila Waingereza, zinakuwa ni ndefu na zimenyooka kama Diana mwenyewe.

Inatosha tu uwaone Watoto wake ambao wamefanana sana na Mama yao na hapo utagundua kufanana huko na Waingereza wengi sana ambao ni Pure UK au wamechanganya kidogo sana.

dead-kids_1658242i.jpg

Asante sana Sikonge, umenikumbusha kitu kinachozungumzwa chinichini ambacho mimi binafsi ntakifanyia uchunguzi. Kuna watu wanauliza kwa nini Lady Diana ana sura inayoelekea uhindini? Umepata kuisikia hiyo?
 
alipendwa sana baba wa taifa mwal.JULIUS KAMBARAGE NYERERE samahani waisfu sina
 
Back
Top Bottom