Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,987
best hawa watu wakikuwahi utasaga meno,maji utaita mma...mmmaa!!Una hasira nao ee
nkiona mwanamke anmnyoosha mlume mi naenjoy tu japo mi siwezi!!
best hawa watu wakikuwahi utasaga meno,maji utaita mma...mmmaa!!Una hasira nao ee
Sikushaur umblock,atatumia no.nyingine.Dawa ni kuachana na matumiz ya simu kabsaaa....tuone atakupgiaje.Nilifunzwa kuwa mwanaume kuonyesha umeumizwa na mapenzi wakt mwengine sio vzr, inabid ujikaze tu hata Kama umeumizwa Ila Kuna huyu Mwanamke ameniumiza acha niseme niliwai kuwa nae ktk mahusiano nilimpenda lakin baadae akafanya ujinga Sana nikaamua kuachana nae..lakin kila siku ananipigia simu halafu anachoongea cha maana hakuna.
Ananikwaza kwa sababu zifuatazo
1. Kwanza nahis kwa sababu anajua nampenda kwa hiyo anafanya makusudi. Kwa sababu anajua kwenye mapambano Yale ye ndo mshindi.
2.Ananikwaza kwa sababu ananikumbusha mambo ambayo nilishayasau.
Nimemwambia asinipigie simu lakin hachoki. Nifanyaje
Wanatusumbua sana hawa watubest hawa watu wakikuwahi utasaga meno,maji utaita mma...mmmaa!!
nkiona mwanamke anmnyoosha mlume mi naenjoy tu japo mi siwezi!!
vbaya mnoo!!Ila wao wakifanyiwa sasa!!Wanatusumbua sana hawa watu
Wamejaa ubinafsivbaya mnoo!!Ila wao wakifanyiwa sasa!!
ndio tatizo lao...acha waumizwe na wao, wajue maumivu labda watabadilikaWamejaa ubinafsi
Mmege tu kisela we sepa kama alivyo kufanyia inawezekana uko aliko kuwa kaachwa au una mafanikio !
ALIVYOKUUMIZA ULIENDA HOSPITALI?