Aliniumiza, halafu bado ananipigia simu

Nilifunzwa kuwa mwanaume kuonyesha umeumizwa na mapenzi wakt mwengine sio vzr, inabid ujikaze tu hata Kama umeumizwa Ila Kuna huyu Mwanamke ameniumiza acha niseme niliwai kuwa nae ktk mahusiano nilimpenda lakin baadae akafanya ujinga Sana nikaamua kuachana nae..lakin kila siku ananipigia simu halafu anachoongea cha maana hakuna.
Ananikwaza kwa sababu zifuatazo
1. Kwanza nahis kwa sababu anajua nampenda kwa hiyo anafanya makusudi. Kwa sababu anajua kwenye mapambano Yale ye ndo mshindi.
2.Ananikwaza kwa sababu ananikumbusha mambo ambayo nilishayasau.

Nimemwambia asinipigie simu lakin hachoki. Nifanyaje
Sikushaur umblock,atatumia no.nyingine.Dawa ni kuachana na matumiz ya simu kabsaaa....tuone atakupgiaje.
 
Kama kweli anakumiza mpige blaklist........ila kama bado unampenda endelea tu kupokea sim yk
 
mimi nilishapigiwa halafu anajifanya Gf wa best yangu baadae anachekacheka akaniambia mimi flani....nikampa jibu moja tu "huna ndugu wa kuwapigia simu" halafu nikakata kila akipiga sipokei akaniambia kwanini sipokei simu kwenye text nikamwambia its my phone vipi ulinunulia nini? mpaka leo kimya
 
Mmege tu kisela we sepa kama alivyo kufanyia inawezekana uko aliko kuwa kaachwa au una mafanikio !
 
NISAIDIE UMRI WAKO ILI NIKUPE MAJIBU KUENDANA NA UMRI...IF POSSIBLE NA UZITO NA UREFU WAKO... DOZI ZINGINE ZA USHAURI ZINAENDANA NA UZITO PIA NA UREFU ILI KUJUA BMI (BODY MASS INDEX)... NAHOFIA KUTOA USHAURI AU DOZI INAYOWEZA KUKUDHURU MTUMIAJI.
 
Kama alikuumuza, sasa anataka kukuangamiza.

Akumuulikae mchana, usiku atakuchoma.

Kaa nae mbali.
 
Back
Top Bottom