Alinisaliti, shida tunaishi sehemu moja

Alinisaliti, shida tunaishi sehemu moja

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
632
Habari za saizi wana jf,nashukuru mungu anaendelea kunisimamia katika maisha yangu.
Naombeni ushauri, nilikua na msichana niliempenda sana lakini ilifika kipindi akanicheat offcoz niliumia sana tuligombana kufikia kuachana ila mbaya zaid bado tunaishi nyumba moja ya kupanga ila kila mtu na chumba chake.
Inaniumiza ninaposikia sauti yake ninapomuona kila wakati moyo wangu unasononeka sana. Sijui hata nifanyaje na jinsi maisha yalivyo magumu nimetafuta sehem nyingine ya kuishi ila nimekosa. Kwa sasa nimeamua kushinda kwa washkaji cku nzima narudi ucku geto ilimradi tu nipunguze ile hali ya kumsikia na kumuona kila wakati
 
Kama hujaafikiana Na moyo wako utamsahau vipi?

Umebeba maumivu ambayo ulipaswa umsamehe Na uyasahau ugange yajayo

Bado una kamzigo ka maumivu moyoni mwako

Fanya hivi

Hebu kubali kabisa moyoni mwako sema nao it's over and u don't want her back

Jikite Na ubusy wa kusaka riziki mtoe mawazoni

Jichanganye Na washkaj kama hivo

Uzur n kwamba hakuna linalodumu Kila jambo linatokea Na kupita maisha lazima yasonge

"Huwezi kuendelea kusoma ukurasa mmoja wa kitabu Kila siku lazima ujue hatma ya story ilikuaje"

Kila la heri
 
Hujishughulishi na kusaka Mahela?? Maana kushinda Kwa washkaji hilo nalo HASHTAG#KOKORO#HASHTAG
 
mtu akiamua kujitesa mwenyewe kupata msaada ni taabu. acha fikira hasi.
Fikiria kuwa na yeye anateseka mara mbili zaidi kuliko wewe akikuona au kusikia sauti yako - labda hili litakupa faraja na hutaona dhiki
 
Watu mnawazaje mapenzi uku hamna pesa saka pesa mkuu utawapata madem wakali zaidi yake
 
Kama hujaafikiana Na moyo wako utamsahau vipi?

Umebeba maumivu ambayo ulipaswa umsamehe Na uyasahau ugange yajayo

Bado una kamzigo ka maumivu moyoni mwako

Fanya hivi

Hebu kubali kabisa moyoni mwako sema nao it's over and u don't want her back

Jikite Na ubusy wa kusaka riziki mtoe mawazoni

Jichanganye Na washkaj kama hivo

Uzur n kwamba hakuna linalodumu Kila jambo linatokea Na kupita maisha lazima yasonge

"Huwezi kuendelea kusoma ukurasa mmoja wa kitabu Kila siku lazima ujue hatma ya story ilikuaje"

Kila la heri
ushaur mzuri sana ata mimi nimeupenda na utamsaidia sana ukitaka ufanikiwe inatakiwa ukeep on moving forward so kilasiku unabaki kwenye position Ya jana
 
ushaur mzuri sana ata mimi nimeupenda na utamsaidia sana ukitaka ufanikiwe inatakiwa ukeep on moving forward so kilasiku unabaki kwenye position Ya jana
Exactly

Swali jepesi angejiuliza kabla ya kuwa nae aliishije iweje Leo ashindwe n kiasi cha kuchukua maamuzi tu

Asante Kwa kupenda ushaur wangu tupo pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom