Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

hahaha . .why are u so sure?
 
Kikawaida mtu unapoanza kujitambua kiila kitu kitaenda sawa utapata kila kitu katika maisha na trust me hauta hangaiak hata kidogo sababu all principles of the universe will fall your way, you can attract and become anything....

Kwanini nasema hivi si kwamba nakupinga au nakuhukumu chief bali nasema hivi sababu huyu mwanamke alipoanza kuwasha red light uli behave vizuri ki gentleman, na uka fuatilia uka confirm there and then ungeakata mahusiano nayeye ukawa una spend a lot of time peke yako hii ingekusaidia ku surrender to yourself....

Then ungesepa kusoma kwa style uliyofanya either ungeeza mchana kwa notice kama hivyo ukasepa, the bad karma about what you did is she is still in you mind which is the problem kubwa saaaana na kwamba hutaki kuoa unanyima haki chief....

My take try easy and find time to be completely alone everyday to kill that ghost chief since it is not good, it is good for nothing!

kila la heri
 
Valentina, mwangalie witnessj hapa... sijui bado kasichana ka darasa la VI manake si kwa povu hili!!!!
 
Witnessj usimbanie kaka yangu bwana.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sio kweli, mimi sio kaka yako bali ni binamu yako tena toka ukoo ule ule ambao binamu ni nyama halali hata kuitengenezea mchuzi, kwahiyo witnessj, be careful with huyu atoto... mi ni binamu yake na anafahamu kwetu RUHKSAA!!!
 
Mi mwenyewe kuna ambae nafikiria kumuua kabisa na tayari Sangoma kisha andaa mpango kazi kuna vitu vichache tu vinahitajika nasubiri likizo iishe nishughulike na hili Swala bure kabisa wanawake baadhi
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe!!!
Mi nakusaidia kazi si witnessj akanitoa baruuu, kumbe kutongoza kazi hivyo!!!
 
Duuuuh!!!
Sasa ukishamuua utapata faida gani?
 
I don't hit and run(atleast not anymore)
Nipo kwenye relationship(s) lakini nakua muwazi tangia mwanzo kua sihitaji a serious relationship
Sasa mbona uliamua kuruka ukuta mkuu? Au ndo ilikuwa kawaida yako umeamua kuchomekea tu? Kimsingi revenge ya kuruka ukuta, ili kumharibu, ulienda mbali sana
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe!!!
Mi nakusaidia kazi si witnessj akanitoa baruuu, kumbe kutongoza kazi hivyo!!!
Hamna mkate mgumu mbele ya chai... mimi ni chai na witnessj ni boflo!! Ukiona boflo ni kubwa hadi unaliogopa... litie ndani ya chai uone litakavyoweza kuyomolwa hata na katoto ka siku moja!
 
Hawaridhiki kwa kuwa wanaume wasioridhika wanahangaika usiku kucha kuwasumbua.
E.g. mimi nina jamaa anataka kumnyang'anya mke wake Rav 4 anipe mimi. Mimi na yeye nani hajaridhika?
Tupe part tu ya riwaya hii, maana unamfaham shemeji yako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…