Ahajaaaaajaaaaaaaaa mkuu mbavu zangu uwiiii....usiombe ukutane na ukurasa wenye watu hata 5 waliomjibu 2017 kwa kumQuote hiyo story yake..
Hapo ndio utajua kuScroll ni raha..[emoji2]
Vale niache sinaga tabia hizo...Labda umpe hela ndo atakuelewa
Makubwa na wewe atoto?!?!Witnessj usimbanie kaka yangu bwana.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yangu yepi tena jamaniHaaaa haaaa haaaa....una yako sasa
Mi simo[emoji85] [emoji85] [emoji85]
We bana acha kumkwepa chige muonee huruma mwenzioVale niache sinaga tabia hizo...
Tumcomfort 2017 yalimsibu makubwa mwee...
kweli ati my baby darlinghaya ila wanaume mkisalitiwa mnaumia sana teh pole though
KweliI minekweli ati my baby darling
miss u lovyKweliI mine
Basi ww utakuwa mrembo hatari mpaka unataka kuhongwa rav4?Hawaridhiki kwa kuwa wanaume wasioridhika wanahangaika usiku kucha kuwasumbua.
E.g. mimi nina jamaa anataka kumnyang'anya mke wake Rav 4 anipe mimi. Mimi na yeye nani hajaridhika?
Mrs wa mtu. Ningekuwa single mum angenihonga elfu 50. In other words kutoridhika kwa wanaume. Fyuuuu!!!Basi ww utakuwa mrembo hatari mpaka unataka kuhongwa rav4?
Kwani elfu 50 sio hela? by the way utakuwa unalipa ndio maana jamaa anafika bei bila kujiuliza, vp lakini ushampa au badoMrs wa mtu. Ningekuwa single mum angenihonga elfu 50. In other words kutoridhika kwa wanaume. Fyuuuu!!!
Bado, kama ndo wewe pole!Kwani elfu 50 sio hela? by the way utakuwa unalipa ndio maana jamaa anafika bei bila kujiuliza, vp lakini ushampa au bado
Vp ww una shida ya kutopewa mgegedo vzr?Ulipaniki san nenda kapime my bro wanajisifia kila 1 wao naweza naweza sijui nina inch 5-6 kelele kibao lakin mkiingia 18 utoto tu...
Hahaha........ndio unifikirie sasa, kwanini uninyime wakati hulipii VAT?Bado, kama ndo wewe pole!
Barikiwa dada.Namheshimu mume wangu.