Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Acha kutukana mwanamke wewe shwaini...

Huna mama wewe?

Aliyekuzalia watoto sio mwanamke?

Paniki lakini usifikie hatua hii.
Japo kweli Inauma hainabudi kuisema...you'll have to get used to it.
Mwanamke ni mwanamke tu haijalishi ni mama, dada au mke. Wao kua kwenye cycle ya maisha yangu haindoi hizo characters ambazo mnazo kiasilia.
 
Haaaa haaaa ....

Demu anatoa na namba tena watafutane! Mweee

Yaani nahisi yule demu hata hakufeel pain yeyote asee, jamaa ndo anaweweseka! Hatariii
 
🙄 Revenge Nzuri ni hii Ungemwambia "Hny Umenikosea so pack your things, nakupeleka Italy for 30 Day"😀😀😀
unampiga na Mapenzi mpaka ajute.
 
Mkuu BAK this is the best only being am missing in my life, kila nikiwa gym hua namkumbuka, she use to tell me tukiwa gym.... "Man, u don't stop when you are tired,u stop when you finish all your reps"
Let her rest in peace
You see, huyo ulishaanza kumpenda na kadri muda ulivyokuwa unasonga ungempenda kabisa, so usijifungie milango.
 
Natamani kujua I'd yako ya zamani
Yaani mpaka sasa hivi hujamjua?

Niliposoma paragraph ya kwanza tu picha yake ilinijia clear kabisa.

Halafu ile sehemu ''Huyu mwanamke ni nani?'' then ''Usaliti unaanza'' finally ''time for revenge''

NB Mimi siyo discloser!!!
 
Samehe saba mara sabini ndugu yangu,kwa kuw alijubali kukupa tigo msamehe tuuu ndugu,wanawake wote wanagongwa tuuu.
 
Mkuu 2017 Don't wipe your tears away but those who created them.
If there's an immature playing with your life, then show her that there's no shortcut to maturity.

Kwakweli umetoa revenge dhaifu mno! no wonder huyo KE hakuwa na wasiwasi kukuletea pua.

Wewe unampa adhabu ya kumlamba marinda, vipi kama ndo ulikuwa mchezo wake.
 
Uzi umekaa fresh, ebana poa sana big up dawa ndio hiyo aisee linda Tu dadeki
 
Yaani huyu jamaa amenishangaza sana, kumla 4G ndo revenge?........Mimi ningemtosa ile siku ya harusi baada ya kila kitu kukamilika.
Anaenda church halafu mimi huyo nachukua demu mwingine naenda lodge kujifariji.
 
Ni kweli mama, kuwa na pesa sio ndio kumaliza, namfahamu mmoja pia, anahangaika anaishiaga kulaani wanawake tu, basi nachekagaaa, namwambia aproach yako ndio inayokucost, hawa wa kuspend tuu ahhh walaa haina tatizo, ila inapokuja kwenye yule wa 'till death do us apart' ndio anasanda.

Alimpata mmoja huyo kweli yule anafaa kuwa mke ila alimuachaga tu na akaolewa na mwingine(yeye husema 'aliniacha bila sababu') akabaki haamini majicho yake.

nikamwambia hakuna anaemuacha mtu bila sababu,lazima kuna sababu, jamaa ana kakiburi fulani ka pesa hivyo anaona km mwanamke ndio anatakiwa kumpapatikia.
 
Kuna na hiyo ya kuachwa bila mahali pa kuishi huku wakiwa ktk maandalizi ya harusi, si unajua kuna yale maswali utaulizwa home au hata na marafiki.

Ila pia kuhusu maswali si anaweza sema tu 'nimeghairi nimeona mwanaume hanifai'(kujitetea)
 
Kuna na hiyo ya kuachwa bila mahali pa kuishi huku wakiwa ktk maandalizi ya harusi, si unajua kuna yale maswali utaulizwa home au hata na marafiki.

Ila pia kuhusu maswali si anaweza sema tu 'nimeghairi nimeona mwanaume hanifai'(kujitetea)
Yaani unampeleka saloon kwa gari anavalishwa vizuri,

Akishavaa unaagiza apelekwe kanisani akakusubiri,

Ukishahakikisha yupo church na ndugu zake wote nakula chobingi na manzi mwingine.

Hiyo ingekuwa ni intro tu wakati naendelea kumtafutia adhabu anayostahili.
 
I like your story,,,the best couple in human life is only your mama and babies,,,nothing else!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…