Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Sasa wewe ulimpataje wenzako washindwe?

Hakuna usaliti hapo. Wote nyie mlikuwa waasherati, kwani mlikuwa mmeoana?

Halafu ujuwe una uhaba wa nguvu za kiume ndiyo maana akawa analiwa, hukumtosheleza.
 
2017

Nimesoma ji story lako mwanzo mpaka mwisho, sijaona hicho ambacho umemfanyia na hato kaa akusahau daima, ni kipi katika stori yako?
 
2017

Nimesoma ji story lako mwanzo mpaka mwisho, sijaona hicho ambacho umemfanyia na hato kaa akusahau daima, ni kipi katika stori yako?
kumharibu nyuma, maana kamwachia kilema cha kudumu, siku ya kujifungua atapambana na mfuniko na makofi ya manesi.
 
Hadithi yako umeharibu kua unakunywa juice nina uhakika mimi na JPM tumechukizwa maana uchumi wetu unategemea pombe.
 
Unazunguka........!!!!!!!!!!!wakati unajua watu in wavivu wa kusoma
 

"eek:!!! Like really" Omg it is like duhh you know.
 
Acha kutukana mwanamke wewe shwaini...

Huna mama wewe?

Aliyekuzalia watoto sio mwanamke?

Paniki lakini usifikie hatua hii.
 
Pole sana ipo siku utapenda tena Inshallah kwenye safari ya maisha walokua hawaja tendwa ni wachache sana,ila wanasema Ukupigao ndio ukufunzao,mwenyezi mungu Inshallah akupe umri mrefu afya ulee wanao na akupe mwenye kheir na wewe usahau maumivu ulio yapata uwe na raha ya mapenzi kama wengine Ameen...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…