miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Siamini kama umetoka kwenye uke wa mwanamke [emoji85] samahani mkuu pole aanaPole mkuu
forgive but don't forget.
Mwanamke ni kiumbe kibaya sana, hapo kaumbwa na mbavu za chobingo tu tena zile ambazo hazijakomaa lakini anajeuri, msaliti, punguani, nk
Imagine kama wangeumbwa kutoka walau sehemu ya juu ya mwili wa mwanaume let say walau ngozi ya kisogoni tu. Hizi takataka zingetusumbua sana.
Hahaha hongera na we pia. Vp na ww una dem au ndio kama wale wa ulaya wali maharage ?? [emoji23][emoji23]By the way!
Riwaya yako ilikuwa nzuri
Congraa..brother !
Mtunzi mzuri sana
LOL..
haya ila wanaume mkisalitiwa mnaumia sana teh pole though
Yani ukiwasoma humu wanavyolalamika ha ha ha utafikiria si hao wanaokuwaga na michepuko kila kituo ...Mkuki kwa nguruwe.... Usaliti watendee wenzao, wakitendewa wao wanalalamika weeee [emoji849][emoji849][emoji849]
Tunasubiri kwa hamu story yakosiku nikielezea story yangu humu mtakufa wote.kuna watu wanyama jamani acheni tu .ila nimemuachia Mungu tu
women are the roots of all evil.Siamini kama umetoka kwenye uke wa mwanamke [emoji85] samahani mkuu pole aana
Mkuu BAK nakuelewa sana, am not proud of what I did but at least it gave me peace at the time,I was a mess.
Tunatofautiana na kila MTU ana handle matatizo anavyoweza, naheshimu mawazo yako, i wouldn't mind if you handled the situation some other way,but that's you!!!!and who knows,maybe you are a wise man than me!
Duh mkuu usituchukie hivi si vyemawomen are the roots of all evil.
Whatever 'kasoro' I had she never addressed them to me before screwing around.Gadeeeem,I sympathize with you and understand ur pain, but this is just ONE SIDE OF THE COIN.... the woman has her story too...una kasoro zako bila shaka kama binadamu.,
Naamini hakuna mwanamke mkamilifu lakin wanawake bora still are out thereDuh mkuu usituchukie hivi si vyema
Wengi tu mkuu .. tupendeniNaamini hakuna mwanamke mkamilifu lakin wanawake bora still are out there
We wacha utani kumbe naye kicheche[emoji12] [emoji12]Pole shem wangu. Nakufahamu na hii story naifahamu pia. Ingawa na wewe ndivyo sivyo.
Inauma sana pole mkuu.Tatizo linakuja pale unapomuamini sana MTU alafu inakuja kugundua anakufanyia maigizo