CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 289
WAPENDWA hali zenu huko mlipo? Natumaini mko poa sana.
Mwenzenu yamenikuta yanayoniacha njia panda.
Ila kwa msaada wenu natumaini nitapata mawazo mapya na kuachana na fikra zangu.
Ngoja niwaelezea mkasa wenyewe.
Ni hivi nina MCHUMBA ambaye alikataa ''katu'' kunipa PENZI lake mpaka tuoane.
Ila kumbe alikuwa anajua ya MOYONI mwake.
Baada ya kumshawishi mpaka amekubali ni kuwa nilichokikuta ni MAJANGA. Nilimwonea huruma sana.
Ni hivi Mchumba mwenyewe AMEKEKETWA.
Naombeni Ushauri NIENDELEE naye Au NIMUACHE?

Kwani alivyokeketwa shimo limepotea au ??? kwani wewe hujakeketwa
We ni majanga kweli.
Usimuache..........
Mungu naomba unisamehe kwa kumtukana huyu mtu
We huna akili hata kidogo,huu ni udhalilishaji wa hari ya juu kwahiyo yeye alipenda kukeketwa? Kama unampenda endelea naye tu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
kabila gani?
WE KWELI CT SCAN YAKO YA MCHINA
Kama unampenda, endelea naye...kama humpendi mwache, kukeketwa sio hiari yake na nina uhakika angepewa choice asingekubali
Are you perfect kila idara?
Grow up
Endelea na mchumba wako hiyo kitu wala haina shida, ni sawa sawa tu na wengine wenye ki_ _mi, ila tu hisia zake za kufanya mapenzi zinaweza kuwa mbali kidogo, lakini hilo si tatizo, ni juhudi zako tu kumpandisha hisia kama mwanaume anayejua mapenzi anavyofanya. Kwa upande mwingine labda kama una aleji ya kukichezea tu na ndio mapenzi unayoyajua.
Btw, kwani wewe hujakeketwa?
WAPENDWA hali zenu huko mlipo? Natumaini mko poa sana.
Mwenzenu yamenikuta yanayoniacha njia panda.
Ila kwa msaada wenu natumaini nitapata mawazo mapya na kuachana na fikra zangu.
Ngoja niwaelezea mkasa wenyewe.
Ni hivi nina MCHUMBA ambaye alikataa ''katu'' kunipa PENZI lake mpaka tuoane.
Ila kumbe alikuwa anajua ya MOYONI mwake.
Baada ya kumshawishi mpaka amekubali ni kuwa nilichokikuta ni MAJANGA. Nilimwonea huruma sana.
Ni hivi Mchumba mwenyewe AMEKEKETWA.
Naombeni Ushauri NIENDELEE naye Au NIMUACHE?
una mpanda kweli au unamtamani sana?