Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
mshikaj nilifahamiana nae mkoa,nilikuwa nikifanya kazi huko.kuna siku alikuja kunikopa laki tatu coz mambo yake yalimuendea kombo.nilimdai kwa muda wa miaka miwili hatimae aliniahidi nikachukue.siku nilipoenda kwake kuchukua hela nikakuta alishahama ana wiki moja.huo ndo ukawa mwanza na mwisho wa simu yake kupatikana.nilipata tetesi kaja dar.baada ya miaka 4 baadae na nikahamishiwa dar.ni jana nimekutana na mzee mwenzangu tegeta.anadai hali yake ni mbaya na kama nina kiasi cha laki 5 nimkopeshe abustie biashara yake coz kwa sasa haifanyi vizuri.
nilibaki namshangaa coz laki 3 alikimbia nazo but nahisi huruma cjui nimkopeshe tena?
nilibaki namshangaa coz laki 3 alikimbia nazo but nahisi huruma cjui nimkopeshe tena?