Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
- #41
Mpe halafu muambie dunia ni kama kijiji ila usimkopeshe kabsaa maana mawazo ya kurudishiwa yatakuumiza
mkuu,dunia duara.mi sizichumi kwenye mti
Mpe halafu muambie dunia ni kama kijiji ila usimkopeshe kabsaa maana mawazo ya kurudishiwa yatakuumiza
Kama unayo hiyo hela mkopeshe, atakiambia na kuhamia mbeya pia mambo yake hayatakuwa mazuri na ww ndio utakuwa msaada wake utamkopesha tena.mshikaj nilifahamiana nae mkoa,nilikuwa nikifanya kazi huko.kuna siku alikuja kunikopa laki tatu coz mambo yake yalimuendea kombo.nilimdai kwa muda wa miaka miwili hatimae aliniahidi nikachukue.siku nilipoenda kwake kuchukua hela nikakuta alishahama ana wiki moja.huo ndo ukawa mwanza na mwisho wa simu yake kupatikana.nilipata tetesi kaja dar.baada ya miaka 4 baadae na nikahamishiwa dar.ni jana nimekutana na mzee mwenzangu tegeta.anadai hali yake ni mbaya na kama nina kiasi cha laki 5 nimkopeshe abustie biashara yake coz kwa sasa haifanyi vizuri.
nilibaki namshangaa coz laki 3 alikimbia nazo but nahisi huruma cjui nimkopeshe tena?
we ndo bureeee laki tatu yangu hujarudisha unataka tena zingine we. umeona mi mengi au bakhresa?
Jambo rahisi tu, mkopeshe laki mbili kwani laki tatu zako bado anazo, halafu uendelee kumdai laki zako tano. Sasa hivi hana kwa kukimbilia labda ahame nchi maana Dar ndo TZ, alipokukimbia Mbeya alijua wewe huna uwezo wa kufika Dar akasahau usemi wa wahenga " Milima haikutani lakini sio binadamu".
Mwambie akakuonyeshe biashara yake ilipo, ukifika tu chukua polisi kamata weka ndani kumbushia deni lako. Kwani ww unazichimba aridhini?
Jambo rahisi tu, mkopeshe laki mbili kwani laki tatu zako bado anazo, halafu uendelee kumdai laki zako tano. Sasa hivi hana kwa kukimbilia labda ahame nchi maana Dar ndo TZ, alipokukimbia Mbeya alijua wewe huna uwezo wa kufika Dar akasahau usemi wa wahenga " Milima haikutani lakini sio binadamu".
ilikuwa singida mkuu.huyu mnyiramba alijisahau sana.ni miaka takribani saba sasa ndo tumeonana tena
Nina wasiwasi na jina lako
Acha uzuzu wewe! huyo hataki kukulipa kakuambia hivyo ili usimdai zile za awali ,nenda kitaa kwake karambe TV,Redio Friji au chochote kurejesha mshiko wako!huyo tapeli tu!mshikaj nilifahamiana nae mkoa,nilikuwa nikifanya kazi huko.kuna siku alikuja kunikopa laki tatu coz mambo yake yalimuendea kombo.nilimdai kwa muda wa miaka miwili hatimae aliniahidi nikachukue.siku nilipoenda kwake kuchukua hela nikakuta alishahama ana wiki moja.huo ndo ukawa mwanza na mwisho wa simu yake kupatikana.nilipata tetesi kaja dar.baada ya miaka 4 baadae na nikahamishiwa dar.ni jana nimekutana na mzee mwenzangu tegeta.anadai hali yake ni mbaya na kama nina kiasi cha laki 5 nimkopeshe abustie biashara yake coz kwa sasa haifanyi vizuri.
nilibaki namshangaa coz laki 3 alikimbia nazo but nahisi huruma cjui nimkopeshe tena?