Alinidanganya yupo sealed anakwepa ndoa sasa

Alinidanganya yupo sealed anakwepa ndoa sasa

Mkuu nilimweka akiba kwa matumizi ya ndoa naona analeta matege

Wewe ushawahi japo kuuona uchi wake?? Kuna mabinti wana nyuchi mbaya wanasingiziaga eti ni bikira ili ukija kumgundua awe tayari ndani ya ndoa huwezi kumuacha
 
Ingawa sikuwaza kufikia huku, mimi pia nimeona kuwa anaweza kuwa na complications za ajabu kati yake zikiwa ni za kiafya au kimaumbile.
Jamaa asilazimishe sana kama mtu hayuko huru kiasi hicho, amwache na aendelee na yake kwani atapotezewa muda sana.

Mimi niliwah kuwa nauhusiano na msichana tulidumu almost miez sita kwnye urafiki bila kushare kamchezo,.sasa kunasiki tulienda club tukajkuta tumezidisha kinywaj ikabd twnde tukalale kwake..

bhana wee nlichokiona huko nilihisi ni movie za mazombie hadi leo sijapata kumsimulia mtu yoyote tumebak marafk wakawaida tuu,.namtunzia siri yake..
 
Inavyoonyesha, hujui sifa za mwanamke anaepaswa kuwa mke. Kilichokusukuma kwa huyo dada ni bikra pekee. Nachoweza kukushauri ni subiri hadi utakapokuwa mtu mzima ndo uamue kutafuta mke, kwa sasa nakuwa na wasiwasi wa wewe kutafuta bikra badala ya mke.
 
nahisi alinidanganya kuwa bikira naweza kumwacha lakini hata nispopokea ismu yake atakuja kwangu yanakuwa yaleyale.

shalet mm bikra ninayo kamwe sidanganyi. Sasa vip?? Ahaaaaa

Anyway tatizo lako ni bikra au mke?
 
shalet mm bikra ninayo kamwe sidanganyi. Sasa vip?? Ahaaaaa

Anyway tatizo lako ni bikra au mke?
Wala sina shida na bikira nilitaka kupiga tu akasema hajawahi sex nika propose ndoa akakubali sasa anaikimbia ndoa unaona maajabu hayo.
 
Wewe ushawahi japo kuuona uchi wake?? Kuna mabinti wana nyuchi mbaya wanasingiziaga eti ni bikira ili ukija kumgundua awe tayari ndani ya ndoa huwezi kumuacha

Sijauona mkuu jitihada za kuuona zinagonga mwamba.
 
Inavyoonyesha, hujui sifa za mwanamke anaepaswa kuwa mke. Kilichokusukuma kwa huyo dada ni bikra pekee. Nachoweza kukushauri ni subiri hadi utakapokuwa mtu mzima ndo uamue kutafuta mke, kwa sasa nakuwa na wasiwasi wa wewe kutafuta bikra badala ya mke.
umeninukuu vibaya sikutaka bikira yeye ndio aliyeleta mambo ya kuwa bikira hata sasa sihitaji bikira.
 
unatak mbuz kwenye gunia. Ujinga huo gegeda kwanza ujilidhishe usije kuja fundi wa michepuko.
 
siku hizi kamchezo kwanza ndoa baadae hata kama ni bikra tunaitoa kwanza tukishalidhishana na ndoa itafuata
 
Afadhali ya huyo anaekwepa ndoa, wengine wanakwambia wapo sealed Na anatoa mzigo mkisha funga ndoa, Na ndoa yenyewe utakuta Ni ya kikristo, once umeingia kwenye ndoa hutoki.
means ukikuta sio sealed utamvumilia Tu........
 
Mkuu paragraph ya mwisho umenikwaza.
 
Mimi niliwah kuwa nauhusiano na msichana tulidumu almost miez sita kwnye urafiki bila kushare kamchezo,.sasa kunasiki tulienda club tukajkuta tumezidisha kinywaj ikabd twnde tukalale kwake..

bhana wee nlichokiona huko nilihisi ni movie za mazombie hadi leo sijapata kumsimulia mtu yoyote tumebak marafk wakawaida tuu,.namtunzia siri yake..

Uliona nini Mkuu? Wote tunajifunza hapa, we elezea tu, hakuna anaemjua humu.
 
Mu must be a spare heir! Kuna mahali anasikilizia pakitiki akupige chini, ila kama patabuma ndio ajiweke kwako mazima. Vumilia tu. Kuwa second option sio kubaya saana!
 
Mu must be a spare heir! Kuna mahali anasikilizia pakitiki akupige chini, ila kama patabuma ndio ajiweke kwako mazima. Vumilia tu. Kuwa second option sio kubaya saana!
Kuna muda nilikuwa nafikiria hivyo ila nilifanya udukuzi mawasiliano yake sikugundua kitu.
 
shalet

Huyo ni wazi hakutaki, mkuu ... Achana naye, endelea na maisha yako. Tena itapendeza kama hutampa taarifa yoyote, we sepa tu, aje ashtuke tayari upo na mrembo mwengine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom