Halafu sidhani hata na yeye anayo ....
Kwahiyo yeye agegede huko kwa raha zake halafu mwenzake aisgegedwe kwanini?Hahaaaas aitoe wapi sasa
"June mwezi wa tisa" ndio mwezi gani?
"June mwezi wa tisa" ndio mwezi gani?
namaanisha yeye akimaliza chuo june, then mwezi wa tisa tunaanza mchakato"June mwezi wa tisa" ndio mwezi gani?
Wala sikutaka bikira yeye tu aliropoka sasa muda ukikaribia anatafuta visingizio tatizo alivyoniambia mimi niliamini sasa anashindwa ku revert.Kwahiyo yeye agegede huko kwa raha zake halafu mwenzake aisgegedwe kwanini?
Anadaije kitu asichokuwa nacho yeye mwenyewe?
Huyo wa kutandikwa viboko ....
nashkuru kwa kunielewa mkuu
Huwenda ni shemale😛