Aliniamkia wakati wa game huku akinishukuru

Aliniamkia wakati wa game huku akinishukuru

Hivi wanaume wa Dar mkoje[emoji23] [emoji23] [emoji23]
alokwambia watu hawaamkiani asubuhi nani?
kwahiyo ukajionea maajabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

wenzenu tunasali kabisa baba bariki

Mama yako alikuwa anamwamkia baba yako?!
 
Mwingine wa kahama karibia aniue manake wakati anakojoa nilistukia alivyokua amenikumbatia amenitandika gumi la kufa mtu mgongoni tuuup...alafu hata hasemi kitu....naskia tsa tsa tsa tsa kama nyoka anatoa.ulimi..sijakaa sawa gumi la pili tuuup ndio naskia nakojoaaaa

Hahahahahaha, we jamaa bhanaaa!!
 
Mwingine wa kahama karibia aniue manake wakati anakojoa nilistukia alivyokua amenikumbatia amenitandika gumi la kufa mtu mgongoni tuuup...alafu hata hasemi kitu....naskia tsa tsa tsa tsa kama nyoka anatoa.ulimi..sijakaa sawa gumi la pili tuuup ndio naskia nakojoaaaa
Hahahahaaa aisee jf hatari[emoji23] [emoji23]
 
Unafikiri atakuchunaje bila kukupa maneno hayo anhekua mkeo ambae miaka yote hajawahi Leo kufanya hivyo ningekupa hongera
 
Wakuu, nimekaa nalo saana moyoni mwangu sasa leo nimeamua kulitoa bhana.

Ni wiki jana tu, katikati ya wiki hiyo nilikutana kwa mara ya kwanza na mtoto mmoja hivi aliyetokea yalipoonza/kuzaliwa mapenzi hapa Tanzania.

Mtoto huyo baada ya kufunga safari hadi huku nilipo Wilaya maarufu kwa sasa Tanzania akitokea jiji chafu nilimpokea na kuingia nae hotel moja hivi.

Baada ya kuagiza vinywaji na chakula cha usiku tulikwenda room na baada ya kufika tulianza kupata mlo huo wa usiku na baada ya hapo tujiandaa kwenda kugegedana na kulala.

Baada ya mchezo wa kwanza kuisha tukiwa kwenye mchezo wa pili nilistaajabu kusikia akiniamkia kwa sauti kubwa "Shikamoo bby,nashukuru kwa kunikuna vizuri".

Duuh!! Ninyi wanawake mungu anawaona aisee.
Heheheeeeeee
 
Mimi iliwahi kunitikeo tukiwa room game ilipomkolea mtoto akaning'ata meno kifuani yaani meno yamekamata mpaka Leo alama zipo.
 
Mwingine wa kahama karibia aniue manake wakati anakojoa nilistukia alivyokua amenikumbatia amenitandika gumi la kufa mtu mgongoni tuuup...alafu hata hasemi kitu....naskia tsa tsa tsa tsa kama nyoka anatoa.ulimi..sijakaa sawa gumi la pili tuuup ndio naskia nakojoaaaa
Mkuu nimedinda acha hizo mwanangu
 
Back
Top Bottom