greater G
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 308
- 218
Wakuu, nimekaa nalo saana moyoni mwangu sasa leo nimeamua kulitoa bhana.
Ni wiki jana tu, katikati ya wiki hiyo nilikutana kwa mara ya kwanza na mtoto mmoja hivi aliyetokea yalipoonza/kuzaliwa mapenzi hapa Tanzania.
Mtoto huyo baada ya kufunga safari hadi huku nilipo Wilaya maarufu kwa sasa Tanzania akitokea jiji chafu nilimpokea na kuingia nae hotel moja hivi.
Baada ya kuagiza vinywaji na chakula cha usiku tulikwenda room na baada ya kufika tulianza kupata mlo huo wa usiku na baada ya hapo tujiandaa kwenda kugegedana na kulala.
Baada ya mchezo wa kwanza kuisha tukiwa kwenye mchezo wa pili nilistaajabu kusikia akiniamkia kwa sauti kubwa "Shikamoo bby,nashukuru kwa kunikuna vizuri".
Duuh!! Ninyi wanawake mungu anawaona aisee.