Aliniachia kidonda moyoni sitamsamehe

Aliniachia kidonda moyoni sitamsamehe

Dah! Leo Nimemkumbuka mbali sana nimekumbuka msichana mmoja anaitwa Ana, alinishawishi kula Ada ya Shuleni mpaka Ikapelekea kufukuzwa Shule na baadaye aliniacha dah! niliumia sana.

Na wewe tupia tukio lililowaikukuta kwenye mapenzi.

Fungukaa

Kwa hiyo issue yako ni ipi hapa? Kuachwa na Ana au kufukuzwa shule?
 
Back
Top Bottom